Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

Nyumba ya vyumba vingapi?
Gari gani?
 
Kwani ungesema kuwa utampigia kura lissu,bila kusema unejenga nyumba na kununua gari,ungekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…