Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

Duuh, pole sana...msaada uliompa unatosha, ulisema mimba aliipata kwenye harakati za udangaji hivyo huyo ni Malaya...kama Hana njia ya kuishi ataipata tu, Kuna mambo huwa tunajifunza Kwa njia ngumu kweli, lakini ukiendelea kutojifunza dunia itakuonyesha kuwa watu wajinga hawatakiwi na nature...ushauri wangu ni kwamba, usimsaidie Wala kurudiana naye Kwa chochote, ni uamuzi mgumu sana kama ukiwa si mtu wa msimamo.

Muache Akomae mwenyewe ataipata tu njia ya kutoboa, again usithubutu kufanya tena hivyo utajikuta unajuta pa kubwa kwenye maisha yako yote.
 
Miaka ya ujana wangu niliwahi mtongoza mwanadada mmoja akanikataa, nikambembeleza weeeeeeh hadi akaniambia "aaaah!....wacha nikuonee HURUMA nikupe tu japo mara moja", huwezi amini baada ya kumpiga miti kibao kikageuka ikawa yeye ndio ananitafuta Kila wakati anataka mjegeje lakini sikumuonea HURUMA hata!

Usioe / kuolewa kwa kigezo cha kumuonea huyo mtu wako huruma.
 
Kama unamuonea huruma na kama kweli hiii story si chai basi we msaidie vifaa vya kujifungulia kama uwezo upo then temana naye na hapo unapokaa hama.
 
Wnder ushauri ni huu ufanyie kazi
 
Bila kuchoka 💪
 
Ukiamua kuyavulia maji nguo yaoge! Kama uliamua kuyajenga na mjamzito yajenge tu.
Fahamu tu Mwanamke akiwa mjamzito hata kama ni mkeo na mimba ni yako matusi yenyewe ni kitu cha kawaida!
Hata hivyo Mkuu una huruma kweli kweli! Yaani unatukanwa matusi na kuabishwa kwa mimba ya mtu?
 
Ukikuta mwanamke kaachwa na mwanaume fikiria mara tatu usidhani jamaa ni mpumbafu

Utakuja kujua kuwa hujui
 

Huwezi kutenganisha mapenzi na huruma. Ila watu wazembe ni kuwapigwa vita na Mungu hapendi watu wazembe.

Mtoa mada anashida kidogo.
 
Hana kwao? Achana na mambo ya huruma Young Man yatakushinda.
 
Wewe japo hayashauriki ila huo ni uzwazwa huyo sio mwanamke kaja kupata unafuu tu hapo ,na akija kujifungua akajipata lazima atamtafuta huyo bwana ake kwa nguvu zote na wataanza kuwasiliana kwa ajili ya amani ya moyo wako hama hapo, wazee utajua tu la kuwaeleza,mwanamke asiye na adabu namchukia sana sanA PIGA CHINI HUYO ACHA MAZOEA YA KIS&NGE MPAKA NAPATA HASIRA
 
Akale alikopeleka mboka, danga hafugiki,mpe jibu moko "kadange tena upate hela za kujifungua unamuonea huruma danga kumbe naye anakuonea huruma, Subannalah.,acha undwI
 
Aisee
 
Yaan wakati nasoma hii story kichwa kikaanza kuuma nikitafakari your ignorance.

Mkuu wewe ni mshamba wa mapenzi kiasi hicho??

Mkuu wewe ni mshamba wa wanawake kiasi hicho??

Hivi unamchukuaje mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine, sio mimba tuu bali hio mimba imepatikana kwa njia ya kudanga, unamchukua unamueka ndani, na sio ndani tuu unaenda kumtambulisha kwa wazazi, are you really that stupid??

Hivi inakuaje mwanamke unayemsaidia kulea mimba ambayo sio yako anakudharau mara kadha wa kadwa na bado unavumilia?? Broo hio sio huruma, huo ni upumbavu?

Iko hivi kwa kifupi, huyo mwanamke anamheshimu huyo jamaa aliyempa mimba na kumtelekeza kuliko wewe, wewe hakuheshimu kabisa, kwann hakuheshimu?? Anakuona huna standard, unaokota-okota tuu wanawake, he sees you as a simp.
Kwanza, badala ya kupewa mimba na kutelekezwa tayar amesha develop a sense of inferiority, anajiona dhamani yake imeshuka kwasababu ya matukio yaliyomtokea, sasa kwa jinsi wanawake wanavyofikiri, wewe anakuona boya na anakuona kama "a low-value man" kwa kumchukua na kumfanya mpenzi wako, wewe uliyeamua kumchukua yeye aliyedanga na kutelekezwa na mimba juu, sifa ambazo zinamfanya mwanaume yoyote mkamilifu aone kinyaa, ila wewe hukuona, bac ngoja nikwambie yeye Hakuoni wewe kama shujaa unayemsaidia, anakuona kama "a low value man" ambaye huna standard na huna thamani, ndo maana anakudharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…