Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

Kosa lako halikuwa kumchagua mwanamke mwenye mimba ambayo SI Yako Bali ni kumchukua mwanamke mdangaji ambae hajui hata mimba ni ya nani shida ndo iko hapo mkuu. Kunguru hafugiki. Lakini pia kama ni kumsaidia nsaidie akiwa huko alikopanga ila sio kwa kufanya naye maisha
 
Achana naye huyo mpumbavu.. angekuwa na shida kweli angeshakufa akatulia au angesitirika alipositiriwa.
Wa kumsaidia si lazima iwe wewe.
  • Baba kijacho wake yu wapi?
  • Ndugu zake wako wapi?
  • Marafiki zake je?
 
Afu eti anaenda kumtambulisha kwao kuwa mimba ni yake wakti haujui hata historia ya mimba yenyewe, akizaa mchina je ataambia nini wazazi
 
KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Piga chini. Usipojionea huruma hii dunia itakupiga kipigo kikali sana.
 
Hongera kwa kukubali kumsaidia hayo Mengine kayataka Mwenyewe
 
Mshukuru Mungu amekuepusha na mengi mbeleni. Kwenu sema umefundua mimba in a tu wake na siku ulilala nae haziendani, watakuona shujaa. Ila una kautoto king kapewe somo na Mzee wako ukomae.
 
Endele na huruma ndugu msamaria. Mrudishe ndani na mfunge ndoa kabisa
 
Kama hii ni kweli, basi watu tunatofautiana sanaaaa
 
Me nategemea uzi mwingine kama huu kutoka kwako maana unaonekana kidogo juu ya shingo hakufanyi kazi freshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…