Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

Kuna Rais wa zamani wa Ukraine naye huwa namuona akihojiwa yupo front kapiga kombati na ana silaha anapambana.

Hawa jamaa wana spirit ya ajabu kuipigania nchi yao.
 
Nadhani anamtegemea Mungu na bila shaka Haki iko Upande wake. 👍 🤣 yaani anaonewa na Dubwana kubwa lenye kiburi na Majigambo mengi kama ilivyokuwa kwa Daudi na Goliati.
 
Sasa putin na NATO nani mwanaume.

Nato ni kikundi cha malaya walijiunga pamoja kwa uoga dhidi ya mwanamme Russia
Mkuu; Sasa mbona huyo mwanamme Russia (Putin) anakimbizwa hivyo na hao unaowaita ni kikundi cha malaya waliojiunga kwa pamoja?
Aidha; Huyo mwanaume (kwa mujibu wa madai yako) alikwenda/Alivamia Ukraine kutafuta nini hasa? Wachumba? au Dada poa(Malaya)? au kuthibitisha kwamba yy ni mwanaume (kwa kuonesha naniliu yake) kwa Wa-Ukraine kwa kuwa huko Ukraine ndiko waliko watu waliodai kwamba yy sio mwanaume? 😳 🤣
 
Sasa umejifunza nn?endeleeni kumpa sifa za uongo huku nchi inazidi kuteketea
 
Anauwa raisi wake,anaharibu nchi yake,zaidiya Waukaraine milioni tano ni wakimbizi...

Alikuwa kuwa hawezi kupigana na taifa kubwa kama Urusi,alitegema NATO wataingilia kati alikua hajui NATO hawana uwezo wa kupigana na Urusi

Mmoja katika raisi mjinga kutokea Duniani
 
Huyu mtu ni wakupongezwa kabisa hata kama sisi ni pro Putin tujifunze KITU hapa. Ndugu zangu Siri ya mafanikio Iko Kwenye ujasiri[emoji1534]
 
Sasa umejifunza nn?endeleeni kumpa sifa za uongo huku nchi inazidi kuteketea
Nchi inazidi kuteketezwa na Mvamizi hilo halina ubishi, lakini ukweli unabaki pale kwamba Zelensky ni jasiri na kadri vita inavyoendelea usishangae mwisho akaibuka kidedea. 🙏
 
Mods waunganishe huu uzi na ule ambao upo main stream mara moja!
kimsingi hauna jipya
 
NATO anapigana na Russia Ukraine wenye akili washajua but viazi mbatata kama huyu hawawezi elewa
 
Kuna Rais wa zamani wa Ukraine naye huwa namuona akihojiwa yupo front kapiga kombati na ana silaha anapambana.

Hawa jamaa wana spirit ya ajabu kuipigania nchi yao.
Ukraine ni second home ya wayahudi
 
Kabisa mkuu..
Ule msafara wa Putin ulikuwa unatisha hata watazamaji wa nchi za mbali wa kwenye TV, imagine mlengwa mkuu Zelensky ndani ya Kyiv.. Huyu rais siyo wa mchezo bhana, ni jasiri mnoo!
 
Mkuu vipi? Naona kama umechanganya mafaili hapo. Nani alijua kuwa hawezi kupigana na Taifa kubwa? Zelensky alilizingatia sana hilo na ndo maana yy kwa kutambua udhaifu wake hivyo hakuanzisha vita. Mrusi kwa Ubabe wake na Matishio mengi alisubiri sana ili Jamaa walau aanzishe kidogo tu na ipatikane sababu. Lakini Hilo halikutokea. Baadaye Uvumilivu na kukosa Subira vilipomwishia Mrusi akaamua KUMVAMIA Ukraine. Na inaeleweka mpaka sasa kwamba Ukraine anapigana vita ya kujihami dhidi ya Mrusi.
 
Kwani amewamaliza Warusi na jeshi lake Ukraine...
Mwambieni ukuu wako na nguvu zako zinatisha Eee Mungu mkuu.
2 Nya 20:22
Nao walipoanza kuimba na kusifu, BWANA akaweka waviziao juu ya wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, waliokuja juu ya Yuda; nao wakapigwa.
 
Kabisa mkuu..
Ule msafara wa Putin ulikuwa unatisha hata watazamaji wa nchi za mbali wa kwenye TV, imagine mlengwa mkuu Zelensky ndani Kyiv.. Huyu rais siyo wa mchezo bhana, ni jasiri mnoo!
Ila Zelensky kaishushia sana hadhi na sifa taifa la Russia nina amini leo hii hakuna tena jirani anayemuofia Russia kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya hii vita
 
2 Nya 20:22
Nao walipoanza kuimba na kusifu, BWANA akaweka waviziao juu ya wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, waliokuja juu ya Yuda; nao wakapigwa.
Aaah mkuu hii sura nzima huwa naipenda sana.
Hapa Yoheshafati alikuwa mnyenyekevu na mchaji wa Mungu sana kabla hajajiunga na Ahabu na kupigwa na Mungu.

Asante na ubarikiwe mkuu wangu
 
Ila Zelensky kaishushia sana hadhi na sifa taifa la Russia nina amini leo hii hakuna tena jirani anayemuofia Russia kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya hii vita
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…