Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna Rais wa zamani wa Ukraine naye huwa namuona akihojiwa yupo front kapiga kombati na ana silaha anapambana.Jamaa ni jasiri sana, ameishinda hofu kabisa.
Amemwaibisha mtesi wao aliyekusudia kuwamaliza ndani ya siku 3.
Huyu ninamfananisha na Modekai alivyomshinda Hamani mtu mwenye nguvu.
Putin haamini macho yake.
Mungu anajua kuwapigania wanyonge machoni pa watu na kuwsibisha wenye nguvu.
Zelensky ni shujaa wa karne.
Hawa jamaa wana spirit ya ajabu kuipigania nchi yao.