Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Team Rafiki ni kitu cha kufikirika tu humu JF. Team Bazaz ndio timu inayo exist. Ina Matawi mikoa ya Arusha, Mwanza, Tanga, Dodoma na Kilimanjaro. Makao makuu ni Dar.

Ewaaa. Tena waambie kabisa teamrafiki ni wake na michepuko ya teambazazi.
 
humu mjengoni kuna team nyingi na zina viongozi wake

kuna:-

a) teamrafiki
b)teamweka picha
c)team bazazi
d)teamunoko
e)teamunafiki
na nyinginezo nyingi na hii teamrafiki ipo siku nyingi viongozi wake ni:-

Mwenyekiti : Mndengereko
Msaidizi wa m/kiti ni Tized
Katibu : ladyfurahia
Mtunza Hazina ni: Kongosho
Msaidizi wa Hazina: Mr Rocky
hiyo ndo list ya viongozi wake hivyo nimekutumia hiyo fomu uijaze kisha ulirudishe kwetu tukuregister kwenye kitabu chetu kuwa wewe ni member wa hii Team upo hapo?
Ndio timu gani hyo? Siijui
 
Last edited by a moderator:

Sasa hii fomu unaijaza online au wapi mpendwa? Halafu niitieni vivian amepotea sana jukwaani aisee akifuatiwa na Smile, Lizzy na gfsonwin. Bila shaka huu uzi unawahusu. Halafu wewe Dena Amsi nimenuna ujue....halafu mwanaume akinuna si unajua inakuwa noma!! Maana nasubiria pengine kwenye hiyo orodha ya "Kesho" sasa naona itakukwa keshokutwa!!
 
unaijazia online kisha unaituma online hapa hapa fuata njia hii

ingia jf teamrafiki click sehemu iliyoandikwa registratilon kisha anza kuchagua fomu kwani kuna mafomu mengi
hakikisha unachagua fomu iliyoandikwa TEAMRAFIKI kisha ijaze nenda kule chini kumeandikwa submit click hapo utakuwa umejisajiri

karibu mkuu

hawa wamekusikia wanakuja :llama::llama::llama:
kwani wewe watu wa airtel hawajakuhoji leo?
 
nahisi sasa unanyemelewa na ugonjwa wa hypocrisy wewe
tangia lini tukawa :hippie: wenu

au una utani na mwenyekiti wetu Mndengereko ngoja aje hapa
Ewaaa. Tena waambie kabisa teamrafiki ni wake na michepuko ya teambazazi.
 
Last edited by a moderator:
nani huyo binamu anayechafua hali ya hewa hapa

hivi hawajui kuwa KOMANDOO ndo nimeshatinga mjengoni
nachukua fomu za usijili wa member wapya wa teamrafiki hapa
Kaizer hamjamuona huyo jamaa anayechafua jukwaa kwa kupost picha za ajabu humu sijui anafikiri tuko kwenye soko la porn na Moderator na Paw na Invisible sijui wamelala au wana hangover ya sikukuuu
cc ladyfurahia, Kongosho,
 
acha kujifanya hujui lugha wakati umezaliwa nayo
au unataka nikutajiei saa ngapi kwenye kituo kipya cha mwenge
ulikokuwa unataka kuwafanyia watu massage ya uso
huku macho yamekutoka pima like :A S-eek::A S-eek::A S-eek:
Mtambuzi na Asprin njooni huku mnieleweshe kilichoandikwa.
 
acha kujifanya hujui lugha wakati umezaliwa nayo
au unataka nikutajiei saa ngapi kwenye kituo kipya cha mwenge
ulikokuwa unataka kuwafanyia watu massage ya uso
huku macho yamekutoka pima like :A S-eek::A S-eek::A S-eek:

Duh! Huu uzee au? Mbona sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…