Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hii fomu ya saccos kuombea mkopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadaye tuonane Delington nikuleweshe.
Hahaha...we usitie hofu..mi sili watu miss chagga
Nipo mie......muulize hata Kaizer paroko wangu
Bazaz Kaizer hebu toa amri na maelekezo ya mahakama ya kukutania ili tumalize kesi.
miss chagga hana kiota kingine zaidi ya cha kwanguUna faini kubwa sana bazaz gani hufati code of conduct? Tutakutoa uanachama ujue...uone kama miss chagga utamwona tena
Cc Nicas Mtei
nicas toa maelekezo banaKaizer leta maneno haraka sana.
Faini yake ni Castle zisizopungua 10. Baada ya hapo atakuwa huru
Kiwanja kile kile aise hakina kunguru wengi banaTunampa.mtuhumiwa uhuru wa kuchagua kwanza..
Ameniambia eti umekimbia nyumbani hujaonekana leo siku ya tatu toka eid ianze Kaizer hebu thibitisha hapa
Hivi kwani mimi ndo nilikuwa na makosa Nicas Mtei na Kaizer
miss chagga hana kiota kingine zaidi ya cha kwangu
Nilifuata sana ila sikuwa na namna tyre za baiskeli yangu zilipasuka zote nikashindwa kuwahi mazoezi
nicas toa maelekezo bana
Mhhh hapa ni faini au ni hasara sasa
Kiwanja kile kile aise hakina kunguru wengi bana
cc Nicas Mtei na Kaizer
Hata wewe nimekumiss sana unaguna nini sasa?

kabisa Husninyo ila usipotee hivyo banaNipo best, nilikuwa sijui kama utu uzima dawa.
Asprin ukija kipande hii utoe taarifa za ujio wako usije ukasababisha ajali bureBaadaye tuonane Delington nikuleweshe.
Nipo nimeshamwona kaondoka wewe kesho njoo yale maeneo yetu tufanye mambo fasta
Wewe im watching u...ujue we leta zako hapa
Kaizer mbona maneno yako yanazidi kuwa laini kwa miss chagga kuna nini kinaendelea hapo
cc Nicas Mtei
Hyo ni fomu ya clinic au ya kumwandikisha mtoto chekechea?
Sielewi anaogoapa nini? Mmh kazi ipo kama ajiamini ni shida