mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 276
- 452
Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda.
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅
2. Sitaoa mke wa mtu au mwenye mtoto au demu wa masela yaani nioe bikra✅
3. Niwe na watoto kulingana na uwezo wangu wa kuwalea na kuwasomesha ❎.
Sasa hapo kwenye watoto ndio nilipofeli, mke wangu nilimwelekeza kila kitu na nikampa onyo kali sana juu ya ubebaji mimba kuwa huyu mmoja akue tukuze na uchumi wetu kwanza sasa saivi ana mimba nyingine na mm sina mpango wa kuanza purukushani ya watoto ambao sitaweza kuwahudumia ipasavyo.
Kaonyesha dharau kubwa sana na nishaapa bora nife kabla ya muda kulikokufa masikini na yeyote atakaenipinga kutoka kwenye umasikini hana bahati wa kwanza kabisa mke wangu nishapanga mipango mkakati
1. Kumtelekeza nifanye yangu siwezi rudishwa nyuma mimi .
2. Kwa sasa nina bajeti ya kutunza watu 2 tuu mwanangu na yeye sasa hapo achague 1 kati ya yeye na hiyo mimba nimtunze nani kati yao .
3. Niwatelekeze wote uadi nitakapo fikia malengo au nitakapoweza kulea 3 ndio waje