Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hongera mlipa kodi, drink beer save waterUdaiwi kodi na beer mbili tatu napata daily.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mlipa kodi, drink beer save waterUdaiwi kodi na beer mbili tatu napata daily.
Nilisha vuka level ya kulipa kodi mkuu...😊Hongera mlipa kodi, drink beer save water
Jirani umebarikiwa, na bia za waswanu zinashuka kama kawa.Mungu asaidie vizazi vyetu jirani...😑
Mimi ninapenda sana kutoa mfano kwamba.....
Nina watoto 8 na wote wanasoma shule za ada isio pongua 1.8m
Wakubwa wawili wapo vyuo na hakuna alie wahi kuchuku mkopo.
Nina somesha ndugu na ninategemewa na wazazi.
Sina kazi ya kutisha, nashkuru Mungu tunaishi vizuri na amani imetamalaki, hatudaiwi kodi na beer mbili tatu napata daily.
Na vijana wengi wa sasa wamebadilisha na kuona kwama kuwa na majukumu ama kuitumikia familia ni kama utumwa ama njia ya kuto fikia mafanikio kwa haraka.Jirani umebarikiwa, na bia za waswanu zinashuka kama kawa.
Kuna kitu watu hawajui, kutokuwa na familia si ticket ya mafanikio, however lazima ujipange ili uweze kuitunza familia yenye ustawi.
Mtu usiwe na familia sababu hupendi kuwa na familia, Wazee kibao waliozeeka hawana kitu enzi zao hawakuwaza kufanikiwa? Maisha ya uncertainty nyingi sana.
Kosa la kwako mkuu,kwani usingefanya yale mambo yetu mimba ingetokea wapi,eti nilimwambia asibebe mimba,ngoja niendelee tu kusoma comments za wengine...Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda .
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mm kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1.nilipanga sitakua na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅
2.sitaoa mke wa mtu au mwenye mtoto au demu wa masela yaani nioe bikra✅
3.niwe na watoto kulingana na uwezo wangu wa kuwalea na kuwasomesha ❎.
Sasa hapo kwenye watoto ndio nilipofeli .mke wangu nilimwelekeza kila kitu na nikampa onyo kali sana juu ya ubebaji mimba kua huyu mmoja akue tukuze na uchumi wetu kwanza sasa saivi ana mimba nyingine na mm sina mpango wa kuanza purukushani ya watoto ambao sitaweza kuwahudumia ipasavyo .
Kaonyeshadharau kubwa sana na nisha apa bora nife kabla ya muda kulikokufa masikini na yeyote atakaenipinga kutoka kwenye umasikini hana bahati wakwanza kabisa mke wangu nishapanga mipango mkakati
1. kumtelekeza nifanye yangu siwezi rudishwa nyuma mimi .
2.kwa sasa nina bajeti ya kutunza watu 2 tuu mwanangu na yeye sasa hapo achague 1 kati ya yeye na hiyo mimba nimtunze nani kati yao .
3 niwatelekeze wote uadi nitakapo fikia malengo au nitakapoweza kulea 3 ndio waje
Niwewe,lakini wengi wanaogelea kwenye lindi la umasikini sababu ya familia kubwa, sisi wengine tuna bahati mbaya ya watoto kwakweli,nna mwanangu itoshe kusema ni kama nimezaa shetani , ana miaka 19,jeuri zaidi ya jeuri, anaweza akasusa hata siku mbili hajala kwa hasira tu,kupika hataki, kufanya kazi hataki,Mungu asaidie vizazi vyetu jirani...😑
Mimi ninapenda sana kutoa mfano kwamba.....
Nina watoto 8 na wote wanasoma shule za ada isio pongua 1.8m
Wakubwa wawili wapo vyuo na hakuna alie wahi kuchuku mkopo.
Nina somesha ndugu na ninategemewa na wazazi.
Sina kazi ya kutisha, nashkuru Mungu tunaishi vizuri na amani imetamalaki, hatudaiwi kodi na beer mbili tatu napata daily.
Watoto wengi ni kuukaribisha umasikini tu,zamani nilikuwa napinga,pia katika hao wengi unaweza pata toto lingine ni shetani likakuua kwa preshaKwenu mlizaliwa wengi na baba yako alimudu kuwalea,wewe unafeli wapi pambana
Hakuna uhusiano kuwa ukiwana watoto wachache ndio utatoboa maisha
Heshimu Kenge, Umbwa weKenge tu
ondoa hofu mzee, watoto wengi ni baraka, huwezi kuzaa shetani kama we si shetaniWatoto wengi ni kuukaribisha umasikini tu,zamani nilikuwa napinga,pia katika hao wengi unaweza pata toto lingine ni shetani likakuua kwa presha
Duh mkuu wewe ni mbinafsi wa kiwango cha kimataifaMnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda .
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mm kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1.nilipanga sitakua na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅
2.sitaoa mke wa mtu au mwenye mtoto au demu wa masela yaani nioe bikra✅
3.niwe na watoto kulingana na uwezo wangu wa kuwalea na kuwasomesha ❎.
Sasa hapo kwenye watoto ndio nilipofeli .mke wangu nilimwelekeza kila kitu na nikampa onyo kali sana juu ya ubebaji mimba kua huyu mmoja akue tukuze na uchumi wetu kwanza sasa saivi ana mimba nyingine na mm sina mpango wa kuanza purukushani ya watoto ambao sitaweza kuwahudumia ipasavyo .
Kaonyeshadharau kubwa sana na nisha apa bora nife kabla ya muda kulikokufa masikini na yeyote atakaenipinga kutoka kwenye umasikini hana bahati wakwanza kabisa mke wangu nishapanga mipango mkakati
1. kumtelekeza nifanye yangu siwezi rudishwa nyuma mimi .
2.kwa sasa nina bajeti ya kutunza watu 2 tuu mwanangu na yeye sasa hapo achague 1 kati ya yeye na hiyo mimba nimtunze nani kati yao .
3 niwatelekeze wote uadi nitakapo fikia malengo au nitakapoweza kulea 3 ndio waje
Pole sana mkuu...Niwewe,lakini wengi wanaogelea kwenye lindi la umasikini sababu ya familia kubwa, sisi wengine tuna bahati mbaya ya watoto kwakweli,nna mwanangu itoshe kusema ni kama nimezaa shetani , ana miaka 19,jeuri zaidi ya jeuri, anaweza akasusa hata siku mbili hajala kwa hasira tu,kupika hataki, kufanya kazi hataki,
Kuna familia sio kabisa za kuzaa nazo,nimegundua tuangalie wanawake wakuzaanao kwa yakini, kuna koo zimelaaniwa
Ukisikia piga "panapouma "ndo hii sasa ulipigwa kwenye mshono wazungu wakawahi kwenye ovary🤣nilichogundua ukiwa na mipango yako wanawake ni kukaa nao mbali sana
Maana hawa wenzetu huwa hawajali na hawaogopi maisha kabisa
Mimi mke wangu niliwah mtishia kwamba usizae sahiv mtoto wa pili na ikitokea umeshika mimba tena utateseka sana na nilijitahid kuwa namwaga nje lakin akawa ni wakulalamika kila siku kuwa namkosesha raha kumwaga siku moja akaning'ang'ania nikamwaga ndani na mimba ilashika siku hyo hyo