Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mkuu nimekoswa cha kukushauri maana sijajua jinsia yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kutokulala nae sio kigezo cha kutokupata mimba pia kwa mimi naona jukumu lipo kwa mwanamke ndio wanaoweza kuzuia au kubebaWe ni mwanaume kweli? Una mpa mke onyo kuhusu ubebaji mimba? Kwani analalwa na ani kupata mimba? Wewe si ndo wa kuonywa?
Sitaki kuua kiumbe chochote pia hali ya uchumi mm ndio naijua wengi hamuijui pia malengo niliyopanga mungu anabariki pia nimetengeneza mfumo wa kupunguza njia za hela kutoka na kuongeza njia ya kuingia sasa naona njia ya kutokea inakua kubwa kuliko kuingiaHaujaelezea ongezeko la mtoto mmoja litakavyokufanya masikini zaidi.
Badala ya kuwatelekeza, tafuta fedha halali kwa bidii zaidi.
NB: Usiue kiumbe kisichokuwa na hatia.
Mbona nilizompa sikuzote hakuchukua?Wewe mtoto mpumbavu sana, nani katombrr huyo mkeo na kumpa hiyo mimba? Unampa onyo asipate mimba halafu unampa mimba.
Keyword ADJUSTMENT,hapo umefunga kikubwa sana. Watu 4 kuishi kwa budget ya watu 3 ni kitu raising sana,you won't even feel the pinch.Wote wa 4 muishi kwenye bajeti ya wa3, Solved ✔️ inaitwa adjustment.
Unazungumzia kutelekeza kirahisi hivyo, kwamba utawatelekeza baada ya muda utawarudia nao watakuwa na furaha? Na huyo mtoto mmoja naye utamtelekeza amekosea nini?
Mimi kutokulala nae sio kigezo cha kutokupata mimba pia kwa mimi naona jukumu lipo kwa mwanamke ndio wanaoweza kuzuia au kubeba
Mfungie bandani kwa muda mrefu, atapata stress na kuwa frustrated 😣 Muda wa kufungiwa uwe mrefu kuliko muda wa kuzururaSema ulipotaja mbwa watu watahisi ni chai ila asikudanganye mtu ,mbwa ni familia kabisa maana anakula Kama ninyi watu .
Raha ya mbwa awe mkali ,unamlisha na jioni au mchana wajinga hawatii miguu nyumbani ,sio Kama jibwa langu limenenepeana masikini ,halibweki mpaka liwe na njaa ,natamani kumdukuza ila nimemzoea ,majirani wakija kazi kuwaangalia ,itoshe kusema huyu mtoto amekuwa mzigo kwangu na kumfukuza aende akajitafute siwezi nimemlea vibaya ,simuoni akiweza kula jalalani ,nipe ushauri rafiki nifanye nini na huyu mwanangu mkubwa
Asante.Keyword ADJUSTMENT,hapo umefunga kikubwa sana. Watu 4 kuishi kwa budget ya watu 3 ni kitu raising sana,you won't even feel the pinch.
Acha ujinga wee, mwanamke hapati mimba sikuzote. Zitakaaje humo tumboni?Mbona nilizompa sikuzote hakuchukua?
Wakati ukimwagia shahawa uume uliwaza yote hayo?Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda.
Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini.
Kabla sijaoa nilipanga
1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅
2. Sitaoa mke wa mtu au mwenye mtoto au demu wa masela yaani nioe bikra✅
3. Niwe na watoto kulingana na uwezo wangu wa kuwalea na kuwasomesha ❎.
Sasa hapo kwenye watoto ndio nilipofeli, mke wangu nilimwelekeza kila kitu na nikampa onyo kali sana juu ya ubebaji mimba kuwa huyu mmoja akue tukuze na uchumi wetu kwanza sasa saivi ana mimba nyingine na mm sina mpango wa kuanza purukushani ya watoto ambao sitaweza kuwahudumia ipasavyo.
Kaonyesha dharau kubwa sana na nishaapa bora nife kabla ya muda kulikokufa masikini na yeyote atakaenipinga kutoka kwenye umasikini hana bahati wa kwanza kabisa mke wangu nishapanga mipango mkakati
1. Kumtelekeza nifanye yangu siwezi rudishwa nyuma mimi .
2. Kwa sasa nina bajeti ya kutunza watu 2 tuu mwanangu na yeye sasa hapo achague 1 kati ya yeye na hiyo mimba nimtunze nani kati yao .
3. Niwatelekeze wote uadi nitakapo fikia malengo au nitakapoweza kulea 3 ndio waje