Mna normalize absence ya wazazi kwenye maisha ya watoto wao why? Kuna tatizo gani mzazi akiishi na watoto wake akapambana nao? Hivi unajua kuwa duniani hapa people of color ndio tunaongoza kwa absence katika malezi? either mzazi mmoja au wazazi wote watoto hulelewa na bibi na babuz?
No wonder tuna jamii ya watu ambao hawana upendo/wabaridi sababu they never felt loved in their childhood.
Wazazi mngejua mnatutengenezea future individuals wa aina gani mngeacha kut*mb*n*
Msiwe mnaangalia kukuza tu watoto kwamba wana miaka miwili , then mi4 then 12 then 18….. Ulishawahi kujiuliza kwanini vitoto vidogo vya miaka 20s vinasumbuliwa na depression? vinatamani kufa kufa , Vingine visaikopathi? vinatamani kuua ua na vina hate kali?
Anyways… naongelea mental well being kwenye ulimwengu wa tatu ambao tatizo lao la msingi ni njaa!!!