Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.

Nimejiuliza kwamba:

1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?

2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??

Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
 
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba;-

Wewe kwani ulikuwa huyajui haya yote?
 
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba;-

1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??

Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
tatizo ni kutokusoma katiba ya jamhuri ya muungano na pia soma mkataba wa muungano utaelewa
 
Jamani tunayasema haya kila siku Tanzania ni Tanganyika isipokuwa, penye mafao Wazanzibar ni Watanzania. Ndiyo maana tunasisitiza kwamba Tanganyika iwepo ijisimamie ili kuepuka kutumiwa vibaya

Viongozi wa EAC wakikutana wimbo wa EAC ndio unapigwa kwa ujumla wake, hawa hatuna Muungano
Nchi yenye Muungano tuna nyimbo mbili.

Waliokwenda kuomba 'Umoja Bid' ni Chama cha Mpira Tanganyika a.k.a TFA , Kenya na Uganda.
Leo Zanzibar wakiwa na Chama chao (ZFA) wanataka mechi za AFCON zipelekwe Zanzibar kwa jina la Tanzania.

Kumbuka ZFA walishajitoa TFA ili wakaendeleza mpira wao, leo wanakuja kutaka 'mafao' kupitia Tanzania

Gharama zote za AFCON atazibeba Tanganyika kwa jina la Tanzania.
Kwanini tusitumie rasilimali kuboresha viwanja vya Arusha na Mwanza! wanaolipa gharama za mambo haya!

Kuna tatizo na suluhu wanayo Watanganyika! Rudisha Tanganyika ijisimamie kama ilivyo Zanzibar.

Kama Muungano unahitajika waulizwe Wazanzibar maana Watanganyika hawana cha kupata au kupoteza

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba;-

1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??

Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
Danganyika Iko mikononi mwa kitukuu Cha sultan Seyyid Said bin sultan al Busaid.
 
Hii inaumiza Sana, kwenye mambo yanayoihusu Tanganyika Z'bar ipo ila mambo yanayoihusu serikali ya visiwani Tanganyika haipo. Yaani tunapigwa huku tukiona na hatuna namna. Serikali ya CCM ndio mchawi hapa
 
Kiuzalando iltakiwa iwe marufuku kwa mzanzibar kushika hii nchi wao Wana nchi yao hui ndio ukweli nyie machawa nmnafanya mambo mpaka mnaharibu ina maana CCM wote nyie ni wehu? Mbona hamuambiani ukweli?
 
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba;-

1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??

Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
Aiseeeee! 😳
 
Back
Top Bottom