Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

Nimesoma maoni ya wadau humu, nimegundua kwamba kitendo cha Tanzania kurudi kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa 1992 na kupelekea kuondoka Somo la Siasa mashuleni, elimu ya uraia kwa vijana wetu imekua ndogo sana
 
Inasikitisha kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…