ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Ndio hapo nenda kagonge watakufungulia tuOffice si ndo hiiView attachment 1943467
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo nenda kagonge watakufungulia tuOffice si ndo hiiView attachment 1943467
Nimepotea kidogo ila nilipata wasaa was kuangalia MOVIE (RAAZ 2018)
acheni kabisa nimeona kabisa baada ya Recruitment wazo litakuja tena la kumwomba Mungu kupangiwa
1.Internal Eagle wing
Kuliko External Eagle wing
2.Center Internal Eagle wing makao makuu
Da kweli ni kazi baada ya kazi
Omba CIA agent uwe wakala
Maisha magumu sana mkuu. Hata mkiwapata waacheni tu nao wanajitahidi kupeleka mkate nyumbani.===![]()
Putin says Russian government was swarming with CIA officers
In the 1990s and the early 2000s, the Russian government was swarming with CIA workers, and they eventually had to be “cleaned out” and sent back to the US, Russian President Vladimir Putin claimed on Thursday.www.rt.com
Najaribu kujiuliza tunao wangapi hapa nchini. Na tunachukua hatua gani kuwamaliza kama alivyofanya Putin?
Una hoja ya msingi. Lakini unaweza kukuta ndiyo hao wanawashauri wezi na mafisadi nini cha kufanya ili nchi isijitegemee kiuchumi na kisiasa. Yaani nchi inakuwa mateka wa nchi nyingine huku mkijifanyA mpo huru. Putin katuonyesha hili!Maisha magumu sana mkuu. Hata mkiwapata waacheni tu nao wanajitahidi kupeleka mkate nyumbani.
Pembaneni na wezi tu na mafisadi ambao wanatuibia daily na kurusha lawama Kwa wengine.
Asubuhi njema iwe kwako pia mkuu.Una hoja ya msingi. Lakini unaweza kukuta ndiyo hao wanawashauri wezi na mafisadi nini cha kufanya ili nchi isijitegemee kiuchumi na kisiasa. Yaani nchi inakuwa mateka wa nchi nyingine huku mkijifanyA mpo huru. Putin katuonyesha hili!
Hata hivyo, jukumu la kulinda uhuru wetu kiuchumi na kisiasa ni letu sote raia na ninyi wataalamu wa mambo hayo.
Asubuhi njema Mkuu.
Kikubwa tunachovutiwa nacho au kukipenda nikumiliki hii
View attachment 1933668
Kuna saa hii nazo ni Story tuu watu wanabadilika sana waliokuwa watundu wakiwa watoto wakiwa wakubwa wanakuwa Wastaarabu sanaKwanza utambue hicho unachowaza kukipata si ajira,
Huwa Wana ajira zao za kawaida alafu hicho kinafata haijalishi utakuwa kwenye majeshi au popote ukionekana ulipokuwepo una umuhimu utafatwa na mpaka unafatwa jua tayari wanakujua nidhamu yako toka shule ya msingi na ukoo wako wote unajulikana.
Kwa nn maisha magumu au wanajifanya na Mitaa gani hapa TZTiss tupo nao mtaani wanaomba hadi buku ya vocha...
Akili yako ni ndogo sana , tafuta kitabu cha EvaristChachali kinaitwa Afisa Usalama ni nani na anafanya kazi gani ili upate maarifa kidogo, Kama unawaza kwenda Usalama wa Taifa halafu unawaza kupiga pesa hapo kazi itakuwa ni ngumu sana. Sifa kubwa ya Afisa Usalama ni UZALENDO. Kama unawaza pesa tafuta connection za taasisi nyingine zenye mishahara na marupurupu upate hiyo pesa unayoitaka lakini sio pale TISS.Hata USALAMA WA TAIFA TISS pesa ipo Mzee
Kabisa.Mtu kufanya anachokipenda ni bora kuliko pesa
Kwa bahati mbaya vyoote ulivyotaja ni sawa na 1/100 kwahiyo kuwa na subra 99 sio mbaliNimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn
Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard.
Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu
Kuwa scout na bidii kubwa
Kuwa green guard na bidii kubwa
Kuwa mwana UVCCM na bidii kubwa
Kupitia jkt na bidii kubwa
Kusoma chuo tena nikasoma CFR chuo cha diplomasia na bidii kubwa
Kuhitimu from kindergarten tena na ufaulu wa juu na bidii kubwa
Kutafuta connection za watu ndani ya idara na bidii kubwa
Spend time in clubs na bar zilizojaa hawa watu na bidii kubwa
Pamoja na ndugu zangu kuwa huko idarani ambao ni wa staafu psu kipindi cha jemedari na bidii kubwa
Ila huwezi amini ni bila bila mwaka huu naenda police hatimaye ili kujipunguzia maumivu ya kukosa kazi idara hii
Niseme ukweli watu tunavyutiwa na:
Maneno ya kuna pesa nyingi na ma posho posho bila kujua kwa undani
Filamu na story za kijasusi
Lakini tunaona tuu pale ni kaanani opposite na St Peters na most Osterbay ina kufika hatufiki naomba ambao wapo kama mimi tukutane maana kipindi nipo jkt kuna jamaa alikuwa ana bidii na vyeti alipewa ina tupo pamoja tuuu
Nadhani ugumu unakuwa kujibu maswali haya.
1. Mawakala kina nani
2.Usaili wapi
3.Depo mwezi gani
Mpaka na jiuliza kipindi cha mwendazake ajira zilisitishwa na kipindi cha mama vipi maana wengi wameingia kipindi cha kikwete na mkapa
Mwenye kutaka ushauri au intel yeyote anione pm au dm
Watanzania tuna wa overate sana na kuwakuza sana
Late JPM alisema mtu aliwa anajua kukaa mguu pande na sawa means normal common sense tuu anaweza kusailiwa chombo chochote cha ulinzi na usalama
Sasa hii ya kudanganya watu et ts wanaangalia ukimya wa watu tz kuna wanafunzi ma laki
Kuna wananchi zaidi ya million 60 tutasema kuna watu wanaangalia kila mmoja ili wawaingize ts ni uwongo
Kuna waliopitia jkt na wakapata nafasi ya kuwa mafunzoni na watoto wa wakubwa waliowaambia wanaokuja kesho ni ts wanaofanya usaili
Na kweli kesho wake wakawasili na gear wanataka wafanyakazi wa kusimamia na kufanya kazi beach
Mara wafagia maofisi ya ma DC na ma RC
Tukubali kuna watu qamefanikiwa kujiunga huko kutokana na
1.Bahati
2.Watoto wa wakuu vyombo vyingine vya usalama na ulinzi
3.Watoto wa wanasiasa
Hao ndo wamejaa huko mambo ya sijui wanapita chuo mara jkt mara nn
Ilikuwa ni bahati tuu ya kipindi cha Kikwete
Wakuu nimefanya uzalendo kwa nchi hii acheni tuuu
1.KUOMBEA TAIFA
2.KUSHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO AMBAYO NINA DOCUMENTARY YANGU HUKU
3.KU EDIT MADA MBAYA KUWA NZURI KUHUSU TISS WIKIPEDIA
HASA ZILIZOKUWA ZINAMHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISU NA KUFUTA KUMHUSISHA
DGIS FRANSIS MODESTUS KIPILIMBA
ACHENI TUU WAZEE