Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
hivi ume soma hata kichwa cha uzi?, mbona uko bitter Sana.

Kwa hiki kinacho endelea, sioni haja ya kumpaka matope bwana max.
 
Naomba nieleweshwe taratibu jf kupokonywa leseni, yaani itakua haipatikani kabisaa(kufutwa) au tutakua tunaipata ki magendo (vpn)
Maana kichwa kinanizunguka kweli kweli!
 
Mkuu Max Melo unaonaje na sisi tuwavamie hawa wahuni kama ambavyo wameivamia ofisi zetu? kikundi hiki cha wahuni wanaojiita Wanamtandao kilichoiteka serikali yetu?.
 
Nikupe neno la Faraja kutoka Zaburi 23

"Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji"

Jamii forums imeshuhudia Awamu ya Nne ya Utawala wa Mzee Kikwete, akaja JPM na sasa Samia.

Ni imani yetu, hili pia litapita🙏🙏🙏

Be strong 💪
 
Jf kwangu ni zaidi ya nyumbani kama ikifungiwa siku 90's itakua ni maumivu kwa familia nzima ya watu AMBAO usiku na mchana tumekua humu ndani kama familia tukicheka,elimishana, burudishana, tukipeana pole, tukihabarishana, tukitaniana, tukisaidiana na kuijenga tanzania moja.

NB. Swali linalo bakia kwenye viunga vya akili yangu ni lini wale watu wanao SIFIA SANAAAAAA MPAKA KUPOTOSHA KULAGHAI , KATUFANYIA BULLYING WATANZANIA KWA PROPAGANDA, KEBEHI, DHARAU,DHIHAKA, UFEDHULI KAMA KINA THLAATLAH, CHIEMBE, LUCAS MWASHAMBWA,LUCHA, MTOTO WA SHULE , THE BIG SHOW na wengine wengi ambao huamua kwa makusudiiiii kuponda na kuchafua taswira ya Wana mabadiliko/ mageuzi hata viongozii wa chadema na tundu lissu aliye gerezani kwa uhaini wa mchongo JE kufanya hivyo kwao ni sawa?!

Namalizia na hii nahau ya wahenga wa zamanii.
Mkuki kwa nguruwe kwa BINADAMU MCHUNGUU.
 
Naomba nieleweshwe taratibu jf kupokonywa leseni, yaani itakua haipatikani kabisaa(kufutwa) au tutakua tunaipata ki magendo (vpn)
Maana kichwa kinanizunguka kweli kweli!
Hii imetoka lini
 
Hata walio upande wao, wajue kesho sio yao utajiri ni wawachache mtandao haubebi watu wengi.

Hongera kwa ujasiri wa kukataa uharamia wao
 
Maisha haya yana tabu nyingi na huja bila kuitwa.... Tafuta furaha na amani kadri inavyowezekana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…