Kwa kweeliii (in Joti's voice)tuvumiliane tu kwakweli hamna namna Avatar za kimwendokasi
Haya bhanaShida sio zigo mamito,shida sura iliyogoma mkorogo!
Kwahiyo sie wanene atupende nani sasa?tukipanga appointment saa saba mchana bhas mimi niko location tangu saa 4 kamili na macho yangu yanakua yanafanya kazi ipasavyo na ntakaa Angle ambayo iwe iwavyo mi ndo ntaanza kukuona..bwana nikute ni lipapai N hapo hapo natia Block najilaumu nauli yangu tu..maana inaniumaga kweli kupoteza nauli na muda mwsho unakutana na mtu ka idd amin Inauma acha kbsa
Hahahahaaa. Sijawahi kukutana na mkaka wa JF kibongeAfu usisahau wale wanaume wanaoomba kidate na mwana jf kumbe kazi yake kwenda kukuuliza flani na flani wanafananaje!!
Wana miili kama majeneza au wana matumbo kama mifuko ya mbolea...
Wanaume wa humu Jf mkome huo mchezo
Kamkatili tu Dada wa watuAsa show hakupiga.
So ndo anipe nauli?
wengine jamani muingie huko makanisani mbona naskia kuna uhaba wa Masista,mfanye kazi za kanisa Nyie mmeumbwa kwa ajili ya WAPENDWA.Kwahiyo sie wanene atupende nani sasa?
Kaka zetu au?
Panga tu appointment namimi uone utavyoniblock a day umeniona yani..peter msechu akasomeHahahahaaa. Sijawahi kukutana na mkaka wa JF kibonge
Dah sio fresh mkuu, unaubaguzi kweli kwa dada zetu waliopewa sura za babu mzaa babutukipanga appointment saa saba mchana bhas mimi niko location tangu saa 4 kamili na macho yangu yanakua yanafanya kazi ipasavyo na ntakaa Angle ambayo iwe iwavyo mi ndo ntaanza kukuona..bwana nikute ni lipapai N hapo hapo natia Block najilaumu nauli yangu tu..maana inaniumaga kweli kupoteza nauli na muda mwsho unakutana na mtu ka idd amin Inauma acha kbsa
We wapo.Hahahahaaa. Sijawahi kukutana na mkaka wa JF kibonge
Mnene na mwembambaWapo wanene wenzenu
Yaani acha tuKamkatili tu Dada wa watu
Asubutuuuuuuuwengine jamani muingie huko makanisani mbona naskia kuna uhaba wa Masista,mfanye kazi za kanisa Nyie mmeumbwa kwa ajili ya WAPENDWA.
Siwezi mzidi mpenzi wangu uzuri bwana,asa mpenzi ana sura ka babu alafu hao wanaongozaaaa kwa kuzaa watoto wanaofanana naooooo acha kbsa..dem akiwa mzuri sura ya mtoto inakimbilia kwa baba sjui hawa watoto huko tumbon wanajuaga nan mwnye sura ya ajabu!Dah sio fresh mkuu, unaubaguzi kweli kwa dada zetu waliopewa sura za babu mzaa babu
2014 Nilikutana na Kabinti fulani Fb, kwa muonekano wa picha ni mzuri sana na nikaona bonge la deal kukubaliwa na mwanamke wa calber ile.. tukapanga kukutana usa river, aisee Nilichoka.. Nikampigia kuhakikisha kama ni yeye alipopokea tu nikazima na kuzima simu.. Mpaka na leo demu wa social Media Hapana!