Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Ila muache kutubagua.
Hatuna sura
Hatuna kalio
Tuna miili ya Iddi Amin
Ila tuna mapenzi ya kweli.
Mtupende tu
yeah mi nawaitaga reserved TANK nikibanwa sanaaaaa ile sanaaaa iwe kipesa,kimapenzi,ki kila kitu hua natumiaga Reserved tank...mana unaeza pata tatzo halaf ukajikuta uko peke ako ila Hawa ktk huo upande wa kuhakikisha hupat shda wako Vizuri ndio mana Sikosi reserved Tank hata m.1 tu sio mbaya.
 
Tuko tank ila kwa shida, utabaki mwenyewe.
Kwani sisi hatutaki mapenzi ya kweli?
Mtupishe hapa.
Na hatufanyi diet..tunakomaa na jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…