Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Wajifunze kuwa real!
 
Aah hata usiseme mkuu , nilikutana na demu fb jina zuri na picha anazopost ni mzur balaa

Sku nikapanga kukutana nae lodge moja maeneo ya ilala daah sikuamin aisee hapo hapo nikampiga bonge la dharura na nilimpa buku mbili kama nauli

Yaan hadi leo nikikumbuka ile sku nacheka mno
 
Wajifunze kuwa real!
Nimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.

Tatizo vijana wetu nyie, mnataka siku mkikutana mle, mlewe, muende lodge na kufanyana. Ndio maana mahusiano yetu siku hizi ni mtihani.
 
Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.
Ni below 23.
Kayajulia mapenzi ukubwani.
Utajichosha mpwa.

Wamekariri mwanamke mzuri ni mwembamba na kama mnene awe na chura
 
Well kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!
 
Well kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!
Unageuza maelezo.
Pale juu umesema hutatamani binti pitia Social network....means unajuta kukutana nae
 
Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.
Ni below 23.
Kayajulia mapenzi ukubwani.
Utajichosha mpwa.

Wamekariri mwanamke mzuri ni mwembamba
Aiseee,umekosea sana!Basi tu hii ni JF na baadhi yetu humu tushatoa mada ambazo hatuwezi kureveal identity zetu!Jaribu tu kucheki threads ambazo nimewahi kuandika humu toka 2015 kwenye jukwaa la siasa!Huku wengine tunapunguza stress and hv fun!Japo tukio la jana ni kweli na lilinikera!
 
Hahahhaha
Umekataa penati umekubali kona.
 
Kumkimbia mtu ni utoto ndo maana sipendagi kukutana na watu mtandaoni sasa wewe unataka mrembo siuende kwenye shindano la urembo jamani, hata ka ni filters haiwezi kumbadilisha mtu sura, inabaki ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…