Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Mie niko kama huyuKumbe wewe kimodo eeeh,hahahaaaaaa!Nakuja PM
Karibu Pm tuongee.
Afu najiamini kinyamaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie niko kama huyuKumbe wewe kimodo eeeh,hahahaaaaaa!Nakuja PM
Wajifunze kuwa real!Hiyo ya kumkinbia mtu ni tabia mbaya sana, i detest it big time. Hivi can't you remain just pals kama huoni anakufaa?
Naamini ukiweka miadi na mtu, kutana nae, have a few soft drinks (sio hayo mapombe then mnaishia lodge coz akili imehama), talk and say goodbye.
Kama unaona anafaa kwa next step, mualike tena kwa date nyingine, talk, eat and drink...from there mambo yatajiweka sawa tu.
Hili la kumkimbia kwangu ni utoto, ujinga na ulimbukeni.
Ni wewe na upeo wako.siwezi jitoa akili kiasi hicho nkatafuta mtu above 65kg..never
Haya njooMrembo balaa!
Nimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.Wajifunze kuwa real!
Mnataka tuwe real tutembee na vyeti vya kuzaliwa au kadi za clinic?Wajifunze kuwa real!
Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.Nimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.
Tatizo vijana wetu nyie, mnataka siku mkikutana mle, mlewe, muende lodge na kufanyana. Ndio maana mahusiano yetu siku hizi ni mtihani.
Well kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!Nimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.
Tatizo vijana wetu nyie, mnataka siku mkikutana mle, mlewe, muende lodge na kufanyana. Ndio maana mahusiano yetu siku hizi ni mtihani.
Unageuza maelezo.Well kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!
Kwani sura yangu matangazo?Ikiwezekana muondoe effect kwenye kamera zenu za simu wakati mnatwanga photo!
Aiseee,umekosea sana!Basi tu hii ni JF na baadhi yetu humu tushatoa mada ambazo hatuwezi kureveal identity zetu!Jaribu tu kucheki threads ambazo nimewahi kuandika humu toka 2015 kwenye jukwaa la siasa!Huku wengine tunapunguza stress and hv fun!Japo tukio la jana ni kweli na lilinikera!Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.
Ni below 23.
Kayajulia mapenzi ukubwani.
Utajichosha mpwa.
Wamekariri mwanamke mzuri ni mwembamba
HahahhahaAiseee,umekosea sana!Basi tu hii ni JF na baadhi yetu humu tushatoa mada ambazo hatuwezi kureveal identity zetu!Jaribu tu kucheki threads ambazo nimewahi kuandika humu toka 2015 kwenye jukwaa la siasa!Huku wengine tunapunguza stress and hv fun!Japo tukio la jana ni kweli na lilinikera!