Nimeona mpwa, napoteza nguvu za vidole bure tu.Afu mpwa huyo unaebishana nae ni mwana UD.
Ni below 23.
Kayajulia mapenzi ukubwani.
Utajichosha mpwa.
Wamekariri mwanamke mzuri ni mwembamba na kama mnene awe na chura
Afu asikudanganye mtu kuwa kipimo cha uwerevu na hekima ni kuanzisha thread jukwaa la siasa.Aiseee,umekosea sana!Basi tu hii ni JF na baadhi yetu humu tushatoa mada ambazo hatuwezi kureveal identity zetu!Jaribu tu kucheki threads ambazo nimewahi kuandika humu toka 2015 kwenye jukwaa la siasa!Huku wengine tunapunguza stress and hv fun!Japo tukio la jana ni kweli na lilinikera!
Wengi hawaelewi kuwa u rafiki ni zaidi ya sura, hafu wakikutana na kulalana mahusiano hayadumu kabisaNimesema, huna sababu ya kumkimbia mtu kisa tu hana quality unazotaka. Kula, kunywa na lipia bill then agana nae kwa uzuri tu. Kama huoni anakufaa usimualike tena, ila kama unamuona anafaa kwa urafiki, set another date.
Tatizo vijana wetu nyie, mnataka siku mkikutana mle, mlewe, muende lodge na kufanyana. Ndio maana mahusiano yetu siku hizi ni mtihani.
Bora mpwa.Nimeona mpwa, napoteza nguvu za vidole bure tu.
So childish hyo behavior na wewe u natafta mtandaoni kwa tamaa uwe unaenda ambianceWell kama hujaelewa vizuri ni kuwa nilikaa naye kwa 15 minutes,nikamuwekea order ya chakula na kinywaji nikalipa na kuondoka bila kumuonesha kuwa nimemkimbia!Nadhani aliamini nimepata dharura!Iko hivyo!
Hivi mwanaume kweli utahesabuje hadi chakula na vinywaji??......Samaki na chips kavu sh 8000,kinywaji 3000!Jumla 11000, bado na nauli niache?
[emoji23] [emoji23]Afu usisahau wale wanaume wanaoomba kidate na mwana jf kumbe kazi yake kwenda kukuuliza flani na flani wanafananaje!!
Wana miili kama majeneza au wana matumbo kama mifuko ya mbolea...
Wanaume wa humu Jf mkome huo mchezo
Wenzako wanafanya matangazo
Basi usije lalama hapa.Sawa!
Nadhani hili ni jukwaa la MMU kama sijakosea!Basi usije lalama hapa.
Ukitaka wanawake wazuri, nenda direct kwa page za warembo huko insta au fb.
Mbona zipo.
Wewe unachofanya ni sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi wakati si sehemu yake
Njoo Papichullo basi au La ChaazSijasema nilikuwa natafuta,nilikutana na picha zake tu bahati mbaya nikamDM!
Ambiance si palishafungwa au??
Ndio la MMu na mada hii ndo sahihi.Nadhani hili ni jukwaa la MMU kama sijakosea!
Hamna mwanamke bonge wala mwembamba inategemea kila mtu na size yake..kama unajiona chembamba Tafuta chembamba mwenzio,kama unajiona bonge basi unachuku bonge mwenzako its a matter of preference kila mtu na kile kimpendezacho.Ni wewe na upeo wako.
Kila mtu na chaguo lake.
Hao wenyewe unaosema wewe, wakifika lwa mwingine ni minuko tu
Ujue huyu ana tatizo anaweza kuhesabu had nyama wanaume wa hivi si wazuri kabisa hafu ana njaa Kali, so shameHivi mwanaume kweli utahesabuje hadi chakula na vinywaji??......
Hawa ndo wale wananumua maji chupa 1 na glasi 2 mnagawana.Hivi mwanaume kweli utahesabuje hadi chakula na vinywaji??......