Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Asa kwa faida gani?
Halafu sasa, huwezi amini, yule mdada kupitia zile picha kapata mkaka na anamjali mpaka aibu

Dhahabu inapitia kwenye moto ili ipate uthamani, sio kama inapata adhabu ya kuunguzwa
Ujinga mwingi mno hivi huwa wa nafikiria nini mleta mada hajakua bado kiakili huyu
 
Nani katajwa?Au wewe uko jukwaa hili ili iweje?Kama kila mtu akikaa na yakwake,jukwaa hili lingekuwa linajadili nini sasa?Au yale yanayokufurahisha ndio halali ila yanayokukera sio halali!
Nimekwambia ningekuwa jukwa la siasa ningekujibu.
Ila nakujibu hapa kwa kuwa umeleta mada yako hapa MMU.
Asap
 
Umeandika ukweli kabisa mi JF nimekutana na mtu sasa ni best friend hatari ilitokea tu accidentally loh. Hyo kumtamani mtu kisa comment mbona mpya loh.
 
Filter inabadilishaje sura ya mtu maana mi naweza piga picha na kuweka color yoyote lakini nikabaki vile vile tu.

Huyo jamaa kazoea kununua machangu mtandaoni hafu hana siri kabisa
 
Hahahhaha
Mi kukutana na wa JF mwiko though kuna mmoja tunaheshimana naye yuko very matured kabisa the rest hamna kukutana wanaume wambeya kuchunguza chunguza tu cjui wanalipwa
Unashangaa tu picha zako ziko public.
Humu kuna wanaume wa hovyo sana
 
Ndio hivo.
Tuishi nao kwa akili.
Wakitutaka, tukiwakataa watatusema na tukiwakubali wanatusema pia.

Sijui huwa wanatakaga nini hawa viumbe
 
Nimekwambia ningekuwa jukwa la siasa ningekujibu.
Ila nakujibu hapa kwa kuwa umeleta mada yako hapa MMU.
Asap
Hujaelewa,unaposema sijui mambo yako unaleta humu jamvini,ndio nakuuliza hivyo!Unataka jukwaa hili kiwekwe kitu gani?Mbona kama tunaongea lugha 2 tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…