Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Acheni roho mbaya na husda.
Sasa mnataka sie wenye sura za baba tupendwe na akina nani?

Kwani wewe unataka sura au mnato?
Acheni ulimbukeni na ushamba.

Na bado, mtatujua mpaka akina Rihanna tunaoongea kiswahili sanifu na kihaya.
Shubaamit!!!!
Sio hivyo mkuu muwe mnaweka picha halisia,unakuta alishaweka hisia anakutana na mtu wa aina fulani;gafla mzee analala.
 
Tumbo kuliondoa fasta tu,ukiwa serious ndani ya mwezi linatoka lote.

1.Mazoezi Jogging
2.Maji Mengi.
3.Cut down Wanga,Supu.Mchemsho/Vyapati vyapati
4.Plenty of veggy
Ngoja nianze mazoezi maana isije fika Jf Party bado niko na tumbo langu zikaja kumiminika thread hapa
"Ohhhh Madame kuponda wanaume wakati ana sura kama upande wa chupi"...akha!!!
 
Wanaume hamnaga siri.
Nawajua sana

Wapo wataalamu.
Wanajua kucheza na body hilo
Madame mpaka saiv uko huku,huna wa kushikilia zigo nin?
Mi ndio hvyo nimetoka kapa leo
 
Sio hivyo mkuu muwe mnaweka picha halisia,unakuta alishaweka hisia anakutana na mtu wa aina fulani;gafla mzee analala.
Wewe umapoamua kutongoza mdada humu kwenye media, tegemea lolote.
Jiandae kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…