Nimekasirika kuitwa malaya

Nimekasirika kuitwa malaya

Sio mbaya kama ukiandika hivi inakupunguzia machungu andika tu usije ukaishia kujiua.
Nijiue Kwa sababu ya jf wewe hunijui Wala , tatizo lenu mnataka mtu akitusiwa anyamaze tu maana ni hatuonani kama mtu anajua Hilo asingekuambia maneno machafu .

Angekuheshimu sana nakunyamaza as long as wanatoa mbovu natoa yangu au wakizi na waignore ila usitarajie utukanwe unyamaze Kwa sababu wao nani vichovi hivi vya jf ??hujaniambia kitu
 
Ukweli unauma, ndiyo. Ameambiwa yeye ni MALAYA na kwa kuwa ni kweli, INEMUUMA SANA!
Kama wewe sio Malaya isingekuwa unacomment ila wewe ni Malaya ndio maana unacomment huu uzi
 
Huyu aliyekuita malaya amekujuaje kama hajawahi kukula? Jaribu kukumbuka labda kuna siku uliliwa na mtu huko danguro. Na kama wewe unajijua vzr sio malaya, maneno ya uongo hayo yanakuuma kwa nini?
Wewe mama Yako alikuzaa gesti na alipata mimba Yako gesti na dada zako wamezeekea gesti .

Gesti ndio nyumbani kwenu mnaumalaya wa aina yake mmeshindikana kila vitongoji na vitongoji mama na dada zako waliwa hata Barabarani hawana hata haya kokote ili mradi wamepewe hela .

Nyie ni mambwa Koko wachafu kila kitongoji ,washenzi kabisa wachafu aliyewaloga kafa .
Na hata baba Yako humjui
 
Hahaha hapo kwenye unique fulawa nimecheka kimbwaaa.... 😆 😆 😆
 
Hiv nyie wanaume wenzangu mnaompemda huyu aliendika huu uzi mnauhakika km ni mwanamke?!!

Mmekutana nae in person na mkamla papuchi kabsa
 
Dada yangu mpenzi wangu kipenzi changu njoo nikuondolee stress usibishane ovyo ovyo

Kwani wakisema wewe malaya kwani ni kweli si uongo mimi nakujua ww ni wife too be tumejuana mda sana kaa kimy
 
Chill sis,fanya mambo yako tu jifunze kupuuzia vitu ambavyo havikuhusu,kwa mfano mimi nikipita sehemu nikikuta ugomvi watu hata watake kuuana huwa napita zangu kama sijaona kitu..

Simple bcoz hainihusu,so na wewe enjoy tu maisha yako so long we ndo unajijua vizuri mtu hapaswi kukuharibia mood eti kisa kakutukana.

Mtu akikutusi assume ni kama mtu aliyerusha jiwe then halijakupata,so mwangalie then jisemee moyoni huyu ni mtu wa hovyo siwezi deal naye.

Coz kuna watu furaha yao ni kuona na wewe unapanic kama wao,uwe na mood mbaya kama wao.

Kataa kuwa na mood mbaya kisa mtu,tunaishi mara moja hapa duniani enjoy maisha haya licha ya kuwa kuna watu watakuudhi tu siku moja.

Happy new year to all mates.[emoji1488][emoji3590][emoji3590]
 
Back
Top Bottom