Ushuhuda
Mdogo wake siyo mwanaemtt wa mwisho anakwambia yupo form 4 ss awekeze kwa watoto wepi tena mwache ale maisha
nimekukubali eti nimkaze wife🤣🤣MMU raha sana. Imenioinguzia stress asante.Ushuhuda
Nimeshapoteza marafiki wawili kwa visa vya wivu wa kimapenzi mmoja alikuwa anatuhumiwa kuchepuka na mke wa mtu, akatumiwa vitisho akadharau mwisho akauliwa kwa kutekwa na kunyongwa. Mwingine alipewa sumu kwenye pombe
Geukia famile yako watoto wale vizuri wavae fresh, watoe out wakapige msosi wa maana na mwisho mkaze mkeo kwa fujo sana
Hao ndugu achana nao waachie zamu ya kumlea mama yenu sasa
Hili pia ni somo. Lakini kuendesha rough gari yako ni hatari kuliko. Umenichekesha hapo kwenye nyimbo za misiba. Naomba niunge kwenye hiyo playlist yakoNjoo uniige mimi, nikiwa stressed naomba nyimbo za misiba mwanzo mwisho, kama Niko na gari basi naendesha very rough kisha baada ya hapo naishia kucheka nakutambua kuwa zipo peke yangu. Niko na watu nyuma yangu wananitegemea
Tena kwa fujo hata ukimkuta anapika unamwambia aipue kuna jambo la dharura mkajadili chumbaniBroa
nimekukubali eti nimkaze wife🤣🤣MMU raha sana. Imenioinguzia stress asante.
Sasa mkuu unataka kunipiga kofi kwa sababu gani?? Tunatofautiana sisi binadamu ktk feelings zetu.
Hahahahaha Leo namsikiliza Ado November, Utabaki kuwa Mungu.Hili pia ni somo. Lakini kuendesha rough gari yako ni hatari kuliko. Umenichekesha hapo kwenye nyimbo za misiba. Naomba niunge kwenye hiyo playlist yako
Uandishi wako tu unaonesha usipobadilika utaonewa sana ... yani mtu ashakuambia ungekua KAKA YANGU ningekupiga makofi unafikiri kuna mtu anaweza kumpiga kaka yake makofi kama hamdharau alafu we unajibu ...sasa MKUU unataka kunipiga kofi kwa sababu gani ukimaanisha kwamba kama anasababu ya kukupiga kofi akupige inaonyesha jinsi ulivyo dhaifu ndio mana wanaokuzunguka wanakuonea ...BE THE BEAST WHICH WANTS TO EAT YOUSasa mkuu unataka kunipiga kofi kwa sababu gani?? Tunatofautiana sisi binadamu ktk feelings zetu.
Kama hataki kumkaza, anambie mm nimkule kimasihara. We are here for season, usikubali mtu wa kando akutese wakati una maisha yako.Sawa ila tulia achana nao Fanya yako!hivi mkeo kazi yake mini badala ya kukupa faraja anakupa kero kuna mdai kakuambia kaza mkeo kwa fujo ndio hvyo hvyoo!kaza mkeo sanaaa!hakikisha mpk anaomba poo!kwani ulimuolea nini!!!!
🤣🤣🤣see now??🤷🏼♀️ life is good, LG.Broa
nimekukubali eti nimkaze wife🤣🤣MMU raha sana. Imenioinguzia stress asante.