Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

Nakubaliana na mleta mada follow your heart, sometimes inner peace inakuja kwa kufanya kile nafsi inataka. Ingawa ni bora zaidi angeangalia ni vitu gani vya kufanya ambavyo havitakua na madhara kwake pamoja na wapendwa wake
Well
 
Kweli kabisa aliimba Mbaraka Mwinyishekhe shida haziishi ukiwa fukara ndio kabisaaaa.
 
Asante kw ushuhuda wako. Shuhuda kama hizi zinaponya roho za watu wengine. Hapa MMU ndio Mahali haswaaa. Kumbe kulikuwa na Roho mbaya hapo eeh!
 
Hapa ndipo nasemaga swala la Mungu ni myth.Haiwezekani binadamu wateseke afu eti tupo majaribuni na anatujua kabla hatujazaliwa.

Anasema tusimfate shetani.Lakini shetani ni kiumbe wake si amteketeze watu tule bata.

Pole bwana
Mimi mwenyewe nimekuwa nikiwaza kama wewe. Hadi leo sipati majibu. Unaweza ukakufuru kwa kweli.
 
Thanks
 
I don't condone ulevi, uzinzi na anasa zingine ila ni muhimu ukifanya kwa kiasi na umakini. Ilibidi uanze haya mapema kuvent out your frustrations all along. Maisha yafaa nini bila furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama uko tungi tayari. Alafu umesema una mke!!!
 
Asante kw ushuhuda wako. Shuhuda kama hizi zinaponya roho za watu wengine. Hapa MMU ndio Mahali haswaaa. Kumbe kulikuwa na Roho mbaya hapo eeh!
mkuu ni wengi sana walopitia hali hizo bt walipotambua tatizo ndo ukawa mwanzo wa maisha ya furaha kwao
 
Watu pekee unaowasaidia wakakuelewa na kukushukuru ni watoto wako na mkeo
Wengine wote wataku disappoint
Kuna mdogo wangu nilikuwa nimeamua nimjengee kanyumba kwa mazingira ya kijijini, nikagundua ananiibia vifaa vya ujenzi wakati mafundi wanajenga banda la mbuzi pale kijijini
 
😀😀mwanadamu sijui ana nini kwa kweli, yaani shetani anamwambia iba ili awavuruge msisaidiane tena mbeleni
Usipoona the big picture behind Satan s work umekwishaaaa,shetani anafanya kazi kwa viwango, anavuruga maisha yajayo(future) yako na wanao kwa kutumia vinafasi vidogo vidogo sana, ana mbinu zilizojificha na wazi, za hatari na salama, satan is a deceiver, a liar, a manipulator usipogundua you are finished!
 
Dah tupo wengi mkuu, personally nimepambana sana kuisaidia familia na ndugu yyte mwenye ttzo, hali iliyopelekea kutoinvest sana katika maisha yangu binafsi zaid ya kujiendeleza na shule. Above all, sijawahi kuwa appreciated na wazaz wala ndugu, na ikitokea kuna jambo sijatatua, nakua miongoni mwa watu wa hovyo sana machoni mwao! Nlichoamua kwa sasa, moja, kutulia na wife na kufanya ishu zetu nje ya mkoa wa home, mbili nafanya lile ambalo tu haliathiri mipango yangu! Hata ufanye nn, furaha haitoki kwa ndugu mkuu.....karibu makao makuu ya nchi tulime alizeti (joking)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…