Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tumia simu yako kupata namba zote muhimu, hauna haja ya kumuuliza mtu.ametoa maelezo.sahihi swala la yeye kuwa na namba sio lazma
hapo ulipo sio namba zote unazo mfano namba za bank upatapo changamoto au dharula unayo?
punguzeni makasiriko ma agent uchwara
Ahsanteee sana mkuu wewe umetoka nje ya box.Sema wahuni, Uswahili sio dhambi. Ni waswahili pekee wanatumia neno mswahili kama tusi. Huu ujinga haupo kwenye race nyingine yeyote ile Duniani. Race zingine zote wanajiona wao ni superior huku waswahili mnawatukana wenzenu kwa kuwaita waswahili.
VIP ya Bongo ni Gari kuwa na milango miwili, siti 1x2, biskuti, pipi, maji na juisi(hivi hupewi vyote, vinatolewa viwili kati ya hivi)Bongo hamna basi VIP
Siku hizi ni LATRA sio SUMATRAPiga simu Sumatra watakusaidia ,
hapo umenena pointBongo hamna basi VIP
Naona kuna ofa ya discount VIP hamnaga ofa, mmeyatimbaNimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo huduma. Konda hana jibu la malalamiko yetu yote, likiwemo la kurudishiwa nauli inayobebwa na hiyo business class. Nani mhusika kwa sakata hii?
View attachment 2861202
Nijulishe na namba yake tafadhali.
Sijawahi kuona mabasi ya maana yakienda Bukoba, sidhani kama kweli kuna mfanyabiashara yeyote anayetaka kubeba senene kwenye basi lake.
Hakuna alietaja uarabu ama uzungu hapa. Sijui hayo unayatoa wapi.Ukibadilisha hizo tabia una upgrade na kuwa mzungu au muarabu sio? Endelea kupambana utagraduate Uswahili.
Nilipanda shabiby dar dom, si ile yemye choo ndani!? Ndio yale yale semi luxury tu, choo chenyewe kina limitations kibao, bafo kinakuwa kichaafu kinooma. Huku kwingine ni yale yale, siti watu wawili, hakuna wifi, hakuna lolote.bm dar moro aliwahi kuwa nayo
shabiby anazo dar dom
Wewe safiri mchana, hakuna aliyekulazumisha kusafiri usiku.Serikali naomba waondowe utararibu wa gari kusqfuri usiku, gari zisafiri kama zamani, madereva nao ni binadamu wanasinzia
Hakuna alietaja uarabu ama uzungu hapa. Sijui hayo unayatoa wapi.
Mimi sio Mswahili, kuzaliwa bongo sio lazima uwe mswahili. Kuna utamaduni kabisa wa Kiswahili. Kuna watu wanazaliwa bongo hawajuhi hata Kiswahili wala utamaduni wa Kiswahili.