scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
ile huduma siitaki yaani ni wizi mtupu na hata ukiwa unatoa m pesa nmb ada iko juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli mkuu makato ya hiyo huduma huwa yako juu sanaAngalia Kwa Makini labda kuna huduma umejiunga haujui mfano (send to save)
Yaani unatoa 11,000 unakatwa 3,000?nilihamisha hela toka bank crdb kwenda tigopesa... aisee kwenye elfu 11 walikata elfu 3 nikasemaa sirudiii tenaaa
Bank hapa tz ni wezi tu. Hayo makato sio ya serikali.Yaani unatoa 11,000 unakatwa 3,000?
Makato ni 27% that's bullshit asee! Au serikali inafilisika jamani?
Sera za taasisi za kifedha kuhamisha fedha kutoka au kwenda taasisi nyingine kidigitali ni mbovu,Pole. Mimi pia niliwahi kuhamisha hela kutoka benki equity elf 5 kwenda tigo pesa nilikatwa elfu 3 na equity Bank . Siji kurudia tena bora nikatoe kwa [emoji763]Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio.
Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha.
Hongereni sana NMB Tanzania
Nadhani sasa baadhi yetu tutapunguza kuweka fedha benki au kwenye sim ,tunaanza kuficha homeMiamala yote ni ghali kwa sasa
Bungeni wamejaa wao tu chama kimoja,hakuna hata upizani kutupazia sauti sehemu husikaAsante mkuu. Shukran za dhati kuwa billionaire siyo mchezo.
Ila haya makato ni mzigo kwa mtanzania. Halafu serikali haijali. Bora angalau kungekuwa na tija katika haya makato. Sijui lini tutaendelea kama taifa. Yani hata sisi wabeba boksi ukituma hela homie reciever akipokea tu ya ni makato ya hatariiii.
Wakulaumiwa hapa ni Putin na Magufuli.
Mwigulu anaupiga mwingi kinoma....Kwani hivyo viwango vya makato anayepanga ni NMB (benki) au ni zile tozo za miamala zilizowekwa na Nchemba?
Hizi benki ni wezi. Reasonable charges zingepelekea uwepo wa miamala mingi. In the long run wanapoteza na hizo huduma zitakufa.Sera za taasisi za kifedha kuhamisha fedha kutoka au kwenda taasisi nyingine kidigitali ni mbovu,Pole. Mimi pia niliwahi kuhamisha hela kutoka benki equity elf 5 kwenda tigo pesa nilikatwa elfu 3 na equity Bank . Siji kurudia tena bora nikatoe kwa [emoji763]
Sasa hivi ni tozo kwenda mbele. Ukitoa bank kwenda kwenye simu ni tozo. Anayezipokea na yeye ni tozo. Makato yanatukatisha tamaa sana.ATM nasikia nako wameongeza makato maradufu.
Hujui serikali ilianzisha tozo kwenye miamala ya benki?Hizi bank zinatupelekesha zinavyotaka yani hawajali chochote. Wakiamua kupandisha transaction fee wapandisha tu wanavyojua. BOT kama regulatory body nao wamechill tu wavuja jasho tunaumia.
Hii nchi ni Shenzistan.
Asilimia 10 ya 5m ni 50k?!Hoja hapa sio hiyo shs 5300, ishu ni kwamba hiyo ni zaidi ya asilimia 10 ya fedha iliyohamishwa.
Ni sawa na ukatwe zaidi ya 5m kwa kuhamisha 50m
Na hapo kumbuka tu unahamisha toka Bank kwenda mitandao ya simu. Ukitaka kutoa ili upate cash pia kuna makato yake.Yaani unatoa 11,000 unakatwa 3,000?
Makato ni 27% that's bullshit asee! Au serikali inafilisika jamani?
Ulikimbia hesabu shuleni? Au macho yako yamekufa?Asilimia 10 ya 5m ni 50k?!
Kwa hesabu hizi, acha waendelee kujichotea mi_tozo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonesha wamekubaliana mabenki yote kufanya huu utapeli.Kuna Azania Bank, ukifanya simbanking transaction unaweza kulia, sometimes inakubidi maana unajikuta mahali ambapo hakuna umoja switch atms au wakala na uko na shida ya mpunga
Pole sana. Mimi sitatumia tena huduma hizi.nimekatwa 7009 kuhamisha 125K kutoka Tigo kwenda NMB