Ni kwl mkuu lakini je,ni lini umesikia mke kafunguwa kesi kapigwa na mumewe?Ngoja nikufundishe kitu ndugu maana unaonekana wew ni maamuma mkubwa wa Sheria na ustaarabu hasa unaposema hakuna jinai kumpiga mkeo.
Huna mamlaka wala haki ya kunyoosha mkono wako na kumpiga binadamu yeyote hususani mkeo Kwa kigezo cha ndoa.
Ndoa sio biashara ya ulanguzi wa binadamu , kwamba ukishatoa kimahari chako basi unamamlaka kamili juu ya binadamu mwenzio. La hasha !, mwanamke anahaki na hiari ya kuamua kile anataka juu ya mwili wake na maisha yake as long as havigusi utu wako kama binadamu na sio kama mme.Na ukiona hakufai muache aende zake..Ulipaswa kua jela Kwa kipigo ulichompa
Wewe unaota? Ni jinai kubwa tu kumpiga mke au mke kumpiga mumeKwni kupiga mwanamke ni mimi wa kwnz?
Hakuna jinai kwenye kupiga mkeo,,
Nimefanya vyema kuachana nae kuliko angeendelea kunisaliti na kunitendea mambo ya hovyo
Kwhyo lini umesikia mke kapeleka kesi polisi kapigwa na mume?Wewe unaota? Ni jinai kubwa tu kumpiga mke au mke kumpiga mume
Kesi zinapelekwa sana tu. Lakini case kutokupelekwa haimaanishi sio jinai. Tena mke akikomaa unaenda Hela kabisa.Kwhyo lini umesikia mke kapeleka kesi polisi kapigwa na mume?
Kama kesi itakuwapo basi mke mahakamani hafiki kutoa ushahidi.
Na kama ingekuwa wanawake wote wakipigwa na waume zao wanaenda police basi wanaume wote wale jeuri leo wapo gerezani...
Mwanamke bila makofi hanyooki,na kama hutaki kupiga mwache aende..
SamaNi kwl mkuu lakini je,ni lini umesikia mke kafunguwa kesi kapigwa na mumewe?
Tana nke karudi nyumbani usiku wa manene kalewa?
Kama ipo nionyeshe..
Mkuu, hapo ndipo unapoonyesha wazi hujitambui kwenye unachokijadili. Unauliza “umeona wapi mke kafungua kesi?” kana kwamba kutokufungua kesi kunabadilisha jinai kuwa haki. Hiyo ni reasoning ya kushangaza na niwazi wew ni mkatili na unaendeleza huo ukatili hadi sasaNi kwl mkuu lakini je,ni lini umesikia mke kafunguwa kesi kapigwa na mumewe?
Tana nke karudi nyumbani usiku wa manene kalewa?
Kama ipo nionyeshe..
Hata mimi nimeshashuhudia mke kapeleka kesi police kapigwa na mumewe,baada ya siku ya pili akaenda na watoto police kufuta kesi huku analia jamaa aachiwe bado anampenda mumewe...Kesi zinapelekwa sana tu. Lakini case kutokupelekwa haimaanishi sio jinai. Tena mke akikomaa unaenda Hela kabisa.
Simu zilianza kusambaa mikononi mwa raia wa kawaida mwanzoni mwa mwaka 2000. Binafsi simu yangu ya kwanza kumiliki ni Phillips (2003), baadaye Siemens mayai (2005), Nokia (2006-2010.Miaka 18.
Hii ni 2008.
Hivi hata simu zilikua hazijsambaa sana miaka hiyo mlikua mnafumanianaje?
Ninachomaanisha ni kwamba wanawake wanapigwa sn na wanaume na kesi hawapeleki police,na kama zitapelekwa kwa shinikizo la ndugu au marafiki, mwisho wa siku mahakamani mke hafiki.,Sama
Mkuu, hapo ndipo unapoonyesha wazi hujitambui kwenye unachokijadili. Unauliza “umeona wapi mke kafungua kesi?” kana kwamba kutokufungua kesi kunabadilisha jinai kuwa haki. Hiyo ni reasoning ya kushangaza na niwazi wew ni mkatili na unaendeleza huo ukatili hadi sasa
Mke akipigwa halafu asifungue kesi, kipigo hakigeuki kuwa halali. Na mke kurudi nyumbani usiku akiwa amelewa hakukupi mamlaka ya kumpiga, kama tabia yake haikubaliki, una haki ya kumwacha, si kumpiga.
Usichanganye mamlaka ya ndoa, hasira zako za kijinga na umiliki wa mwili wa mtu. Huwezi kupata na kamwe huna haki ya kumpiga mtu kwa sababu tu umeoa.
Kama unaamini vinginevyo, leta kifungu cha sheria kinachokupa hiyo mamlaka, si kuuliza kama umewahi kusikia kesi.Hili ni swali la kipumbavu. Ulishawahi kusikia mtu amefungwa sababu ya ushoga Tanzania?..Kama bado je sheria inasemaje kuhusu matendo ya ushoga.",Je wew una haki ya kufirwa Kwa sababu hakuna aliyewahi kufungwa?
Hapana mkuu.Simu zilianza kusambaa mikononi mwa raia wa kawaida mwanzoni mwa mwaka 2000. Binafsi simu yangu ya kwanza kumiliki ni Phillips (2003), baadaye Siemens mayai (2005), Nokia (2006-2010.
Kwa hiyo mpaka kufikia 2008 raia wengi walikuwa wanamiliki simu. Sema hizi smart phone ndiyo zilikuja baadaye kidogo (2010+).
Ndiyo maana nasema hazikua zimesambaa sana. Siyo kwamba hazikuepoSimu tangu 2003 zipo nyingi tu.kipindi hicho simu tunavaa shingoni.
Sony Ericsson
Siemens
Motorola
Nokia
Philips.
Nk.
Hakika mkuu ,,ukishaua ndy akili inarudi na majuto yanakuja.
Ni bora aende kwa amani
Umalaya ndio biashara kongwe zaidi duniani, ilikuwepo kbl ya simu na itakuwepo. Uzuri una adopt mazingira yyt.Miaka 18.
Hii ni 2008.
Hivi hata simu zilikua hazijsambaa sana miaka hiyo mlikua mnafumanianaje?
And, I pronounce you,MWANDENDEULE and Mwanamkasi,as husband and wife!Vigelegele kidogo kutoka Tanga!
And, I pronounce you,MWANDENDEULE and Mwanamkasi,as husband and wife!Vigelegele kidogo kutoka Tanga!
Nimependa upigaji wako wa vigelegele.Hahaha