Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,208
- 3,986
Peace of mind ndo kila kitu. Kupigania mali halafu ukose usingizi ni utumwa.Kumuacha aende kama alivyokuja ni rahisi sana , je kumuache anaende na ulivyo chuma ni rahisi?
Peace of mind ndo kila kitu. Kupigania mali halafu ukose usingizi ni utumwa.Kumuacha aende kama alivyokuja ni rahisi sana , je kumuache anaende na ulivyo chuma ni rahisi?
Sheria ya chini ya mwembe si ndio?Hakuna jinai kwenye kupiga mkeo,,
Hakuna kupigania mali zaoPeace of mind ndo kila kitu. Kupigania mali halafu ukose usingizi ni utumwa.
Mmh 2008 simu zilikuwepo mkuu tena sana tu, mi mwenyewe 2006 nlikamatwa bwenini nina Motorola yangu amenipea boyfriend akiii yule discipline master akaipigiza chini hapo hapo ikapasuka akaokota line ili wakasome sms sasa na walimu wenzie....namlaumu yule dogo au ni mzazi wake mjinga yule mtoto kampigia simu kwenye simu yangu akamwambia katumia ya dada bwenini si yule mzazi akajirace tena kwa mwalimu eti nimeongea na mwanangu kasema anaumwa aaghhrr binti kuitwa akasema nimetumia simu ya Sweet16Miaka 18.
Hii ni 2008.
Hivi hata simu zilikua hazijsambaa sana miaka hiyo mlikua mnafumanianaje?
Itakua huyo mdau uliyemjibu alichelewa tu kujihusianisha na simu.Mmh 2008 simu zilikuwepo mkuu tena sana tu, mi mwenyewe 2006 nlikamatwa bwenini nina Motorola yangu amenipea boyfriend akiii yule discipline master akaipigiza chini hapo hapo ikapasuka akaokota line ili wakasome sms sasa na walimu wenzie....namlaumu yule dogo au ni mzazi wake mjinga yule mtoto kampigia simu kwenye simu yangu akamwambia katumia ya dada bwenini si yule mzazi akajirace tena kwa mwalimu eti nimeongea na mwanangu kasema anaumwa aaghhrr binti kuitwa akasema nimetumia simu ya Sweet16
Labda aseme baadhi ya maeneo minara ilikuwa haijafika kwaivo matumizi ya simu yalikuwa bado....wakati huo kuna shiva jerojero, sijui buzz ilikuwa ishatoka wamekuja tgo, celtel washatoka wakati huo ipo zainIt
Itakua huyo mdau uliyemjibu alichelewa tu kujihusianisha na simu.
2005 tayari simu zimezagaa watu wa kawaida walikua wanatumia sana simens Nokia jeneza na Motorola wa kishua walikua zao ni Black berry (walikua na messenger Yao Kama ilivyo whatsap Leo ikienda kwa jina la BBM), Motorola L6 na L7 hiyo ilikua 2005/6
Sure sure kipindi hicho vocha tunaita Dolla nadhani sababu ilikua na thamani sawa na 1$Labda aseme baadhi ya maeneo minara ilikuwa haijafika kwaivo matumizi ya simu yalikuwa bado....wakati huo kuna shiva jerojero, sijui buzz ilikuwa ishatoka wamekuja tgo, celtel washatoka wakati huo ipo zain
😄😄😄 kukawa na sasatel pia ila hiyo sijui ilikufiaga dar nayo....kuna lile tangazo lilikuwa dum dum dum dum dumdumdummm yeee ivi ilikuwa mtandao gani vile tena nahisi ilikuwa before 2008 zantel customer care wao mwanaume ghaiii sauti mbayaaSure sure kipindi hicho vocha tunaita Dolla nadhani sababu ilikua na thamani sawa na 1$
Umenikumbusha na hao buzz walikua na slogan Yao ya Buzz ni Bomba huku Celtel wakienda na Celtel one network Hawa walisambaza mabango Yao karibia barabara kuu nchi nzima kila baada ya kilomita Kama 20 hv unakutana na bango lao
Bila kuwasahau nadhani n Zantel part of etisalat
Pia kulikua na Tritel wao walikua Wana tangazo lao Kama ndege anaruka Hawa nadhani walikufa au walinunuliwa
Yep yep ebwanaee ahaaa.😄😄😄 kukawa na sasatel pia ila hiyo sijui ilikufiaga dar nayo....kuna lile tangazo lilikuwa dum dum dum dum dumdumdummm yeee ivi ilikuwa mtandao gani vile tena nahisi ilikuwa before 2008 zantel customer care wao mwanaume ghaiii sauti mbayaa
...tena ukute ni baada ya kuujeruhi moyo wako.Kumuacha aende kama alivyokuja ni rahisi sana , je kumuache anaende na ulivyo chuma ni rahisi?
Lakini wanawake ndo wanazingua zaidii..Kwa vituko hivyo vyote nimeshangaa kwanini ulichelewa kumuacha??
Mimi huwa natembea na mstari wangu, “Kumuacha umpendaye, aende kwa ampendaye pia ni UPENDO”
Kwanini umlazimishe mtu abaki kwenye maisha yako wakati alishafanya maamuzi ya kuondoka? Muache aende bado wanaume na wanawake wazuri wapo wa kutosha..!!
Wote wanazingua, Muhimu jali afya yako ya mwili na akili..!!Lakini wanawake ndo wanazingua zaidii..
Ni sahihi sanaWote wanazingua, Muhimu jali afya yako ya mwili na akili..!!
Kwenye maisha yako cha kwanza JIPENDE WEWE KWANZA..
Shida watu mna matarajio makubwa na wapenzi wenu, unampa u-umalaika binadamu mwenzako..!!
Mwanamke ukimuona anazingua achana naye kwa amani.. Muache aende anakoona kunamfaa.
Ukilazimisha ndio chanzo cha kuuana..!!
Wewe kumuacha hutokua wa kwanza, pia hutokua wa mwisho..!!
Sheria gani inaruhusu kumpiga mtu,Kwni kupiga mwanamke ni mimi wa kwnz?
Hakuna jinai kwenye kupiga mkeo,,
Nimefanya vyema kuachana nae kuliko angeendelea kunisaliti na kunitendea mambo ya hovyo
Wewe ndio utakuwa wakwanzaLini umeona kesi mume kafungwa kampiga makofi mkewe?