ππππkijichi...Jichanganye πππ
Ss hivi yupo kkoo winga ila ana kiwanja chao cha urithi kipo kijichi, labda akupe ndo mkae mezani πΉ
Mgeni nani π€£π€£ππππkijichi...
Lakini kijichi kweli isije kuwa mgeni nani maana mle ndio naona kumekaa nyumba za urithiurithi ππ?
π€£π€£π€£π€£eeeh mbagala kuu jamani hapana basi iwe hata VikunaiMgeni nani π€£π€£
Huyu haaaminiki utashangaa ni mbagala kuu πΉ
Vikunai hapakufai kipenz changu, kuna wamakonde wengi kule.. kuna wanga sana kona zileπ€£π€£π€£π€£eeeh mbagala kuu jamani hapana basi iwe hata Vikunai
Mgeni nani π€£π€£
Huyu haaaminiki utashangaa ni mbagala kuu πΉ
Pale kanisa la roma karibu na sheri ya puma ndo mazingira ya home. Jirani yangu yupo humuhumu nitamtag sikuπ€£π€£π€£π€£eeeh mbagala kuu jamani hapana basi iwe hata Vikunai
Something Kingazi sijui Kingachi?Pale kanisa la roma karibu na sheri ya puma ndo mazingira ya home. Jirani yangu yupo humuhumu nitamtag siku
Mmmh mbona nyumba mpyampya nilikatiza siku moja naenda Toangoma?Vikunai hapakufai kipenz changu, kuna wamakonde wengi kule.. kuna wanga sana kona zile
Yah ile bar ya kingazi ndo na nyabutaizi.. kuna shule mazingira yale inaitwa St, Mary's sister. Ndo mtaa huoSomething Kingazi sijui Kingachi?
Vikunai sio ile yenye nyumba za mradi. Vikunai yenyewe iko upande uleule lakin nyumba zimefunikwa huwez kuziona kirahis. Vikunai ni uswazi tuMmmh mbona nyumba mpyampya nilikatiza siku moja naenda Toangoma?
Basi kama mtaa ndio ule wewe ni wangu wa kufa na kuzikana,napanga begi nguo nakuja muda huu huuYah ile bar ya kingazi ndo na nyabutaizi.. kuna shule mazingira yale inaitwa St, Mary's sister. Ndo mtaa huo
Kumbe,!mi nilipita kama naenda mikwambe kuna kituo cha politics mbele kidogo kuna njia ya vumbi ndio huko ndanindani nikajua ndio vikunaiVikunai sio ile yenye nyumba za mradi. Vikunai yenyewe iko upande uleule lakin nyumba zimefunikwa huwez kuziona kirahis. Vikunai ni uswazi tu
Ulikula maviHali hii leo mbona kazi ipo!
Katika pitapita zangu maeneo flani flani hiv nikasikia sauti kutoka katika kipaza ikinadisha "pilau buku, pilau nyama buku... njoo ujipatie". Nikaona yesss, dunia ni yetu sote.
Nikajikoki pale ndizi ya mia mbili na juisi ya muwa. Nikaketi taratiibu nijipimie. Wallahi punde baada ya kujishindilia pilau la nazi nikasikia "prrr prrrr prrr" tumbo linaunguruma na maumivu kias.
Nikajaa kujishtukia niko mlangoni mwa choo cha msikiti mana hata nauli iliishia kwemye choo cha kulipia. Nikajimaliza pale vya kutoshana nguvu ikatoweka, nikaomba msaada wa pikipiki ya msikiti nikapelekwa hospitali. Hapa nilipo nina drips ya pili na nishamaliza elfu 32 kwa matibabu haya yanayoendelea
Dua zenu wazee
Ile vikunai ambayo ina nyumba za mradi. Kuna vikunai ina nyumba za raia tu. Tumeokota sana koroshi kipind hiko. Zile ghorofa pale zimeificha vikunai ya kila mtuKumbe,!mi nilipita kama naenda mikwambe kuna kituo cha politics mbele kidogo kuna njia ya vumbi ndio huko ndanindani nikajua ndio vikunai
Narudi Unguja next week. Kuna Hotel naenda kupiga reception siku mtakayokuja Zanzibar mnakaribishwa sanaBasi kama mtaa ndio ule wewe ni wangu wa kufa na kuzikana,napanga begi nguo nakuja muda huu huu
Nonono ni UNATAPIKA KINYUME NA MAUMBILENikikumbuka unaambiwa poti wacha kusema UNAHARISHA sema UNAKUNYA HARAKA HARAKA waziiii
Look gud to know thatIle vikunai ambayo ina nyumba za mradi. Kuna vikunai ina nyumba za raia tu. Tumeokota sana koroshi kipind hiko. Zile ghorofa pale zimeificha vikunai ya kila mtu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hali hii leo mbona kazi ipo!