Hongera kwa mfungo dear.Weka stress pembeni kulala
Mi sahivi namshukuru Mungu,nilipitiwa kipindi km hiki, though mi sbb kubwa ilikuwa ni fasting ya muda mrefu na mara Kwa mara!
Ila sshv namshukuru Mungu Kwakweli
Hata sijui sbb ila sifungi wala siumwi.Stress za kawaida tuKwanini?
Ulikuwa una funga,au una umwa au una stress?
Duh, mayai mawili daily, kitimoto daily, maini daily....hatari sana mkuu!!Mayai 2 daily asubuhi
Main robo
Kitimoto
Na wali ukila hivyo vitu utaona maajabu yake
Asante kwa ushauri mkuu ila itaniwia vigumu kuukubali huu mwili.Kama imeshindikana jikubali tu mkuu, kikubwa usiwe na stress, kula vizuri, jenga life style nzuri, pata peace of mind utanawiri tu.
Ss mi ulikuwa haurudiHongera kwa mfungo dear.
Ila kupungua ya mfungo ukimaliza na mwili unarudi automatically
Acha tu mkuu..Eeeh unenepe chap mkuu, hatutaki kugusana na mifupa, ni mwendo wa steki tu. Yaani mdada mtu mzima kilo 40's kweli khaaaaa!
🙏🙏Chocolate,
Viazi,
Karanga
Kitimoto,
Ugali.
Utanishukuru baadae.
Iam happy for you mwaya.Ss mi ulikuwa haurudi
Nimeshangaika
Sahivi kwakweli nashukuru Mungu
Itabidi niwe nabadilisha badilishaDuh, mayai mawili daily, kitimoto daily, maini daily....hatari sana mkuu!!
Nipe diet plan mkuu Mufti🙏Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana.
Ushauri achana na vikoba na mikopo ya kausha damu Kama uno humo
Pia Kama we ni kamwanamke kalevi punguza pombe au kula sana kabla ya kubugia kamunyweso.
Kingine we Kama ni mkazi wa daslam epuka kula matembele na matumbo mabichwa na magulu za kuku. Jitaidi ukule samaki wa mwanza Kama sato na kamongo yasinda nyama ndani ya mwezi tu utajua mnene Kama msechu
Unene sana sio poa smartPole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
Basi jaribu kuvuta bange pia inaongeza hamu ya kulaKitimoto sawa ila bia siwezi mkuu.[emoji120]
Chukua urefu wako in cm ondoa 100 hiyo ndo bmi yakoNimetoka bathroom kucheki sasa hivi inasoma 49 kawaida nakuaga 64(Mie mrefu)
Maxmum weight yako ni 64kg164 height
49 weight
Kula viazi vya aina zoteNipe diet plan mkuu Mufti🙏