Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Ni kweli na 50 bado sana ila nimepungua sana mkuu.

Nikiwa na kg 64 nakuwa si mnene wala mwembamba na kikubwa huwa napenda muonekano wangu ninapokia na kg hizo.
 
Acha kumsikiliza Prof Janabi.
 
nilikua kama wewe mwaka juzi nikaanza kufakamia msosi chakushangaza nikaongezeka mashavu na kitambi tu mwili uko vilevile saiv nasikia tetesi mtaani eti natumia pombe za kienyeji
Duuh😁
Pole sana ndugu yangu
 
Je umefanya checkup ya cancer yatigo?
 
+255 69 968 0873 mpigie huyu anasuppliment za weight gain
 
Upande wa hela siko vizuri kabisa mkuu.
Sorry to me nakosa msaada wako
Sio lazima uwe nazo nyingi ila ukiwa nazo tu itakuepusha na changamoto mbali mbali ktk maisha mfano
Waajemi
Wachawi
Kupungua uzito n.kπŸ˜„
 
Una kimo gani yaani urefu wako?

Kwasasa una kilo ngapi na ulikuwa na kilo ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…