Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

Mmmmmmhmn hapa kweli umeshuka kilo, yaani una kilo chache kushinda mfuko wa cement.

Anyways, nadhani unatakiwa tu kuzingatia diet kuanzia sasa
Yes kilo zimeporomoka hadi najishtukia.
Ndo hivyo napambania diet nirudishe mwili wangu
 
Lipa madeni ya watu.
 
Mmmmmmhmn hapa kweli umeshuka kilo, yaani una kilo chache kushinda mfuko wa cement.

Anyways, nadhani unatakiwa tu kuzingatia diet kuanzia sasa
Yes kilo zimeporomoka hadi najishtukia.
Ndo hivyo napambania diet
Jaribu kunadilisha mazingira. Nenda vacation mkoa tofauti na ulipo. Mazingira tuliyoyazoea sometimes yanatuboa
Ushauri wako mzuri mkuu ila majukumu yangu hayaruhusu vacation kwa sasa.
 
Finallly numepata ushauri.
Appetite sina ila vimiminuka vinapita labda hiyo lishe itapita pia.
Barikiwa kipenzi nitazingatia.
Ukiumaliza huo ushauri njoo upate dawa amazing ambayo ni zao la kujamiiana. You only release those hormones when you are so turned on! Trust me ile enjoyment itakufumua mwili ukawe vile unapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…