Nimekosa ajira za ualimu tena

Atakuwa hajafikiria vizuri akiacha hizo shughuli zake
 
Ila hii kada ya ualimu inapitia magumu kwenye hizi ajira aisee.

Yaani wao ni mpaka serikali itangaze!?? Ni mwaka hadi miaka!

Wengine huku kitaa washaachana na hizo mambo za kuomba ajira, washajitoa kwenye mfumo wanapiga ishu zao kitaa.
 
Ualimu au siyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kaoshe nyota bhana!!!
 
Sasa kwanini anataka kuacha kazi yake akafanye kazi ya kuajiriwa? Yaani waalimu hawa kwanini hawajiongezi?
 
Yaani aache basic ya 653,000 Ili aendelee na Kazi za ufundi za kubangaiza?

Angekuwa fundi mkubwa na anapata mapato zaidi ya hayo asingeenda
Watu wanaongeaga tu nyuma ya keyboard ila kwa ground mambo tofauti yaani mkuu hata usishangae komenti kama hizo

Wengi tunapenda kuajiriwa serikalini kwa sababu ya security

Kwamba hata nikiumwa ,hata nikiwa likizo bado ela inaingia bado nina mafao

Hakuna asiyejua hili
 
Huwezi acha pension wakati una maisha ya kubangaiza,uache Bima,na fursa zingine nk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…