Nimekosa ujasiri kwenye hili

Mkuu hapo mwenye confidence hapo🤝 😂 ndio nahisi nakwamaa boss
 
Hahaha demu mwenyewe bado ana miaka 4 mbele ya kuendelea kuwinda mwanaume anayemtaka hapo sio pa kutegemea sana!
Sawa sawaa😅 mkuu Ila najitahd tu kwenye motoo tu asikimbie
 
Hamishia mabegi ila uombe demu asiwe na akili za shilole tu 😂😂😂 maana utafurumushwa kwa aibu humo hutaamini aheri uhamie kutoka geto kwako uwe unakuja usiku kumkaza tu
😂😂 sawaa mkuu Ila Juz kati nlimkaza mbaya hadi akawa anataka kunipa hati ya kiwanjaa
 
Kama unataka kushiriki ujenzi muandike majina yenu otherwise kitakuwa ni kiherehere kuchangia ujenzi usiokuhusu na wala hujaombwa kuchangia
Ila si mwanaume anatakiwa kujiongezaa?nikizungumzia hati saiv ataniogopa mana ndio mwez wa 5 huu😅
 
Apo tulia usiongee kitu afu kwenda site kusiamie mafundi usikubali utapakwa mafuta
 
Niuzie mimi hilo zali mkuu..
 
Hakuna kitu inauma kama kibuti cha namna hiyo hua kinafanya wanaume wengi kuongea peke yao huko njiani.
Braza we jipe moyo mguu ndani mguu nje huko mbeleni kadri siku zinaenda jiongeze mwenyewe mguu wa nje uuingize mdani au mguu wa ndani nao uumalizie kuutoa nje
 
Ila huko mbeleni hata akikubali muishi nae kwenye nyumba yake kuna vimanyanyaso huwa vinajitokeza alafu kidume uwezo wa kukohoa huna unabaki na tumaumivu twa moyo ambao inafika mahali unachanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…