Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

m n mshauri kwenye kamati moja kanisa la kkkt ndugu ukikutana na kesi za ndoa unaweza usioe tena bahati wengi wetu lazima kuwe mmeoa amjaachika ndio mnaingia kwenye kamati

NNdugu.....mmhh
 
Huwa
Usiogope huwa wanajifuta na Tishu mkuu
 
Acheni kutudanganya Malaya ni mwanamke anaejiuza kwa wanaume tofauti tofauti sio sahihi kwa mtu anaejiuza kwa mtu mmoja kuitwa Malaya huo ni uongo

Hivyo wake za watu ambao wapo kwenye ndoa kikamilifu hawachepuki sio sahihi kuwaita Malaya eti kisa wanauza kupitia huduma wanazopewa huku ni kumanupulate maana ya neno malaya
 
Unaweza kukuta huyo unamgharamia ananunuliwa pia
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…