Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

Pia kuna watu flani walipiga magoti Chama asiondoke jamaa akawapa sharti la kumrejesha ndugu yake micqueson ambaye kibarua chake kiliota nyasi huko arabuni.

Unajiuliza mtu ni mkubwa kuliko taasisi? Mwenye ile picha atuwekee tafadhari ile ya mangungu akimpigia magoti chama ili asiondoke kurudi kwao huko Lusaka
 
Tatizo nyinyi mnatazama mafanikio ya timu kama kufeli kwa Fei wakati Fei alitazama malengo yake binafsi katika maisha yake ya soka. Fei amepata alichohitaji.
Ila kwa mchezaji professional alifeli sana kuongea vile. Ile ikitafsiriwa halafu akipata timu huko nje na wakaelewa alichosema hawawezi kumsajili. In short aliongea ujinga.
 
Ila kwa mchezaji professional alifeli sana kuongea vile. Ile ikitafsiriwa halafu akipata timu huko nje na wakaelewa alichosema hawawezi kumsajili. In short aliongea ujinga.
Historia ya Fei na kuwa professional wapi na wapi? Yeye alitazama maslahi yake interms of fedha inayoingia, hajasoma na alikiri hata mikataba huwa hajui inasemaje anaamini akiambiwa utapewa milioni kadhaa cheza kwa muda fulani anamwaga wino. Labda sasa hivi kama kuna watu watakuwa wanamsaidia.
 
Mkuu kweli ipo?
 
Ila kwa mchezaji professional alifeli sana kuongea vile. Ile ikitafsiriwa halafu akipata timu huko nje na wakaelewa alichosema hawawezi kumsajili. In short aliongea ujinga.
Tena Ujinga wa Karne..Ronaldo alivyoona kua Kuna Mtafaruku kati yake na Ten Hag akasema atolewe yeye KAFARA ili Man U iende mbele sio Ten Hag atoke yeye abaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…