Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga.

Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?[emoji23][emoji23]

View attachment 2811109
Feisal siyo mjinga,ana sababu kubwa iliyomfanya aseme hivyo ila kwa kulinda heshima ya Yanga aliamua kutoisema hadharani na ndiyo maana mama yake alisema mambo hayo ni siri na ni ya aibu. Lakini kwa vile mnachokonoa na kutaka kumuona Feisal kama ni mtu asiyejitambua basi wacha tupasue buyu, Presidaa alimtaka kimapenzi.
 
Na wewe ulizaliwa serious?
 
Kwa hii Comment ya kipuuzi inaonyesha wewe ni Mpenzi wa hayo mambo.
#ULAANIWE
Wewe ndiye unashabikia Feisal amwangukie Hersi kwenye hii dhambi iliyosababisha Sodoma na Gomorrah kutiwa kiberiti. Ukapimwe marinda wewe utakuwa shoga
 
Feisal siyo mjinga,ana sababu kubwa iliyomfanya aseme hivyo ila kwa kulinda heshima ya Yanga aliamua kutoisema hadharani na ndiyo maana mama yake alisema mambo hayo ni siri na ni ya aibu. Lakini kwa vile mnachokonoa na kutaka kumuona Feisal kama ni mtu asiyejitambua basi wacha tupasue buyu, Presidaa alimtaka kimapenzi.
Kivipi!??
 
Amshukuru Raisi samia bila ivyo hadi leo angekua ana iimba mapambio
 
Kwa hiyo maslahi yake binafsi yana uhusiano gani na kutaka aondoke kiongozi wa taasisi.
Ile ni sawa na mtu kusema "mm nifanye jambo fulani? hata ardhi ifunguke inimeze sifanyi" akimaanisha haiwezekani kufanyika hilo jambo.

Fei sijui alichafanyiwa na viongozi wa Yanga ila alijua fika umuhimu na thamani yake haiwezi kukaribia umuhimu wa Eng pale Yanga na kumuondoa Eng ili yeye abaki ni sawa na kusema ardhi ifunguke, ile kusema labda Eng aondoke ndo abaki ni kuonyesha kwamba yeye kubaki Yanga ni jambo ambalo haliwezekani.
 
Ile ni sawa na mtu kusema ukitaka nifanye jambo fulani labda uniue akimaanisha haiwezekani kufanyika hilo jambo.

Fei sijui alichafanyiwa na viongozi wa Yanga ila alijua fika umuhimu na thamani yake haiwezi kukaribia umuhimu wa Eng pale Yanga, ile kusema labda Eng aondoke ni kuonyesha kwamba yeye kubaki Yanga ni jambo ambalo haliwezekani na hilo alilithibitisha kwa vitendo.
Kafanyiwa kitu gani,ambacho kilikuwa tofauti na mkataba wake?

Mbona unaleta hisia kwenye maswala ya kisheria,mkataba kaingia na Yanga sio Hersi,Hersi yupo pale kusimamia maslahi ya Yanga na hata kama kiongozi anagekuwa si Hersi still angesimamia maslahi ya Yanga.

Deal na mambo ya club yenu,mambo ya Yanga hamu yajui,pambaneni na club yenu atleast saikolojia ya wachezaji wenu ikae sawa la sivyo mtapoteana msimu huu.
 
Unarudi nyuma.

Yeye ndo anayejua alichofanyiwa na yeye ndo anayejua kwanini hakuitaka tena Yanga ya Eng na alifanikisha hilo.

Kuhusu Simba Kufungwa ni jambo limeshawatokea hata yanga mara mbili kwa kufungwa 5 na kwa kufungwa 6 na timu iliendelea kuwepo na leo ipo sawa hivyo lisikusumbue, Simba itakaa sawa na ukandaji utaendelea.
 
Nani karudi nyuma wakati ww timu haikuhusu ndiye una yakomalia ya nyuma.

Kwani ww kwa akili yako Hersi anakosa gani kusimamamia maslahi ya Yanga kupitia mkataba ambao Fei kauingia?

Fei alifanikisha hilo sababu ya siasa zetu za kimpira na heshima ya Rais,ila kisheria na kwa sheria za mpira Fei alikuwa hatoboi kwani mkataba unambana.

Na tushukuru hili swala halikufika katika level za FIFA kuijua,kwani maamuzi ya shirikisho lilo chini ya FIFA haya badilishwi na chombo chochote zaidi ya shirikisho husika la mpira au vyombo vilivyo chini ya FIFA na kama hili sakata FIFA wangelijua tungezuiwa kushiriki mashindano yote.
 
Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga.

Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?[emoji23][emoji23]

View attachment 2811109
Kwa hyo yanga kumfunga 5 simba matatizo yote yameisha pale jangwani kweli yanga wenye akili ni wawili kule hispania Barcelona anamfunga Madrid goli nyingi tu kwenye el classico lakini ubingwa wa ulaya na la liga anachukua Madrid watanzania ni watu wa moment na sio uhalisia hapo mpaka mwaka unaisha mtashangila.
 
Nani karudi nyuma wakati ww timu haikuhusu ndiye una yakomalia ya nyuma.
Timu zote zinazocheza ligi zinakuhusu sababu bila hizo hakutakuwa na mchezo wa soka wa wewe kupata timu unayoshabikia.
Kwani ww kwa akili yako Hersi anakosa gani kusimamamia maslahi ya Yanga kupitia mkataba ambao Fei kauingia?
Hersi hana kosa kupigania maslahi ya Yanga ni jukumu lake na Fei amepigania alichokitaka na alishakipata.
Fei alifanikisha hilo sababu ya siasa zetu za kimpira na heshima ya Rais,ila kisheria na kwa sheria za mpira Fei alikuwa hatoboi kwani mkataba unambana.
Kutoboa ni kutoboa tu. Alikuwa na mipango na imetimia.
Na tushukuru hili swala halikufika katika level za FIFA kuijua,kwani maamuzi ya shirikisho lilo chini ya FIFA haya badilishwi na chombo chochote zaidi ya shirikisho husika la mpira au vyombo vilivyo chini ya FIFA na kama hili sakata FIFA wangelijua tungezuiwa kushiriki mashindano yote.
Sijui kuhusu kujulikana maana dunia ni kijiji na taarifa zimejaa mitandaoni ila najua kuwa halikujadiliwa na FIFA, lingeweza kujadiliwa na isiwe kama hivi unavyosema au ikawa.
 
Timu zote zinazocheza ligi zinakuhusu sababu bila hizo hakutakuwa na mchezo wa soka wa wewe kupata timu unayoshabikia.

Hersi hana kosa kupigania maslahi ya Yanga ni jukumu lake na Fei amepigania alichokitaka na alishakipata.

Kutoboa ni kutoboa tu. Alikuwa na mipango na imetimia.

Sijui kuhusu kujulikana maana dunia ni kijiji na taarifa zinejaa mitandaoni ila najua kuwa halikujadiliwa na FIFA, lingeweza kujadiliwa na isiwe kama hivi unavyosema au ikawa.
Hawa kujua FIFA kwani kitendo cha serikali kujaribu kuingilia maamuzi ya mpira huwaga akina majadiliano kama yakifika kwenye meza ya FIFA hakuna maamuzi mengine zaidi ya kufungiwa.

Kwa hiyo kwako kutoboa ni kutoboa hata kwa njia isiyo sahihi au hili sababu limetokea Yanga?Ila tupo uzuri JF haisahahu,likitokea kwenu tutakumbushana.

Halafu nyie ndio mnaopiga kelele kwamba sheria za mpira hazizingatiwi.
 
Kwa hyo yanga kumfunga 5 simba matatizo yote yameisha pale jangwani kweli yanga wenye akili ni wawili kule hispania Barcelona anamfunga Madrid goli nyingi tu kwenye el classico lakini ubingwa wa ulaya na la liga anachukua Madrid watanzania ni watu wa moment na sio uhalisia hapo mpaka mwaka unaisha mtashangila.
Alicho kionyesha Madrid nyinyi mmekionyesha,zaidi ya kuanza kutupiana lawama mmemtimua kocha,kiongozi hafai,wachezaji wanacheza juzi na Mechi ya Namungo hawana mudi.

Husijidanganye bado hujafikia hata robo ya maturity level ya timu kubwa za ulaya, nyie mpaka sasa mshapanic na ubaya zaidi mpaka wachezaji washapanic.
 
Kwa hyo yanga kumfunga 5 simba matatizo yote yameisha pale jangwani kweli yanga wenye akili ni wawili kule hispania Barcelona anamfunga Madrid goli nyingi tu kwenye el classico lakini ubingwa wa ulaya na la liga anachukua Madrid watanzania ni watu wa moment na sio uhalisia hapo mpaka mwaka unaisha mtashangila.
Akili Ndogo una lazimisha kuingia kwenye hoja kubwa.
POLE SANA.
Hivi Yanga saiv ana Mataji Mangapi kwa Misimu hii Miwili Na simba Ina Mangapi?..Na msimu Huu utaisha hamna Kitu SAVE hii comment au secreenshot kabisa.
 
Back
Top Bottom