Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ok, Sawa, kama hawakujua na hakuna lililotokea kutoka FIFA inamaana hakuna madhara. Masuala ya ingekuwa yanabaki kama assumption.Hawa kujua FIFA kwani kitendo cha serikali kujaribu kuingilia maamuzi ya mpira huwaga akina majadiliano kama yakifika kwenye meza ya FIFA hakuna maamuzi mengine zaidi ya kufungiwa.
Hapa si suala la unyonywaji Yanga, Hapa ni suala la tamanio la shabiki dhidi ya Fei kabla na baada ya kuondoka Yanga.Kwa hiyo kwako kutoboa ni kutoboa hata kwa njia isiyo sahihi au hili sababu limetokea Yanga?Ila tupo uzuri JF haisahahu,likitokea kwenu tutakumbushana.
Yanga imemtoa Fei kwa mkataba wenye maslahi, haijapoteza maslahi yake katika huo mkataba na ndicho kilichotakiwa kufanyika kabla hata raisi hajashauri kuwa aachiwe.
Shabiki kama wewe ulitaka nini kitokee kwa Fei iwapo hana furaha tena Yanga zaidi ya yeye kuondoka na Yanga kupata maslahi yake? Baada ya yeye kuondoka unatamani kuona nini kikimtokea Fei? Majibu unayo na hapa ndipo tatizo lilipo.
Sheria za mpira zipi ambazo hazikuzingatiwa kwa kuondoka kwa Fei Yanga?Halafu nyie ndio mnaopiga kelele kwamba sheria za mpira hazizingatiwi.