Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

Feisal siyo mjinga,ana sababu kubwa iliyomfanya aseme hivyo ila kwa kulinda heshima ya Yanga aliamua kutoisema hadharani na ndiyo maana mama yake alisema mambo hayo ni siri na ni ya aibu. Lakini kwa vile mnachokonoa na kutaka kumuona Feisal kama ni mtu asiyejitambua basi wacha tupasue buyu, Presidaa alimtaka kimapenzi.
Duh mkuu mbona hatari kama prezida anataka aliwe marinda
 
FEISAL popote ulipo naendelea kukuomba ufute kauli yako ile na Utuombe Radhi wana Yanga wote
 
Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga.

Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?😂😂

View attachment 2811109
Labda alikuwa anajiona yeye ndo JINI aliyetumwa kwa Mayele..!!
 
20240603_093932.jpg
 
Back
Top Bottom