Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Tofauti na ngono, mwanamke hawawezi kukupa kingine. Huu ndiyo uhalisia
Maisha ni zaidi ya ngono, unanikatikia kiuno halafu unasema umenipa vyote?
Ukinunua hata umeme wa 5,000 unasema umenikopesha na unataka hela yako.
 
Itakuwa alimpa mawarda yote plus kuifinyia ndani
 
Tofauti na ngono, mwanamke hawawezi kukupa kingine. Huu ndiyo uhalisia
Maisha ni zaidi ya ngono, unanikatikia kiuno halafu unasema umenipa vyote?
Ukinunua hata umeme wa 5,000 unasema umenikopesha na unataka hela yako.
mapenzi ya kweli je?
 
Hivi,ukikaa kwa utulivu kabisa na kujiuliza:Unadhani mwanamke anaweza kumpa nini cha ziada mwanaume zaidi ya papooch?Labda,kwa mbaaaalii,akinizalia watoto.Na hao watoto asiwabebee akili wamchukulie baba yao kama jamaa mpitanjia fulani.
mapenzi ya kweli
amekataa wanaume wote
amejitoa kwa msela
amepoteza muda nae
alafu msela amemzingua kamuacha!
huo ndio utulivu ninaoupata
 
Nikiskia hiyo sentence kutoka kwa KE naelewa alitoa mpk "BEHIND road"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…