Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Ndio ukweli huo utakuta kidada kinataka kuolewa ila kina masharti Kama mganga anayetoa utajiri ndio maana hawapati mahusiano bora na hata wakipata hayo mahusiano bado hawawezi kutulia na mtu mmoja
Anaetoa utajiri NI Mungu sio mganga
Mganga KAZI yake kukuletea umaskini na Kula hela zako
 
Back
Top Bottom