Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

hizo sababu akizitumia kama defence name ntamrudishia hizo hzo maana kama ni muda name wangu umepotea mwingi
Kama upendo name nilimpenda sana kazingua
Kuhusu wasichana/wanawake wenda kuna waliokuwa na malengo hata zaidi ya aliyokuwa nayo yeye ni ngoma draw boss
Si ungemuacha basi kama uliona WA malengo wapo
Kwanini unemcheleweshea muda wake
 
Hii ndio point...mwanamke ni wa ngono tuu hakupi ata kitu kingine.
Mfano rahisi tuu muombe adhamini pambano la minyamduano uone anavyoruka mile 60. Hawa ni kugegeda tuu na kutupa kule🤣🤣🤣🤣
Ukitaka kuona hawa watu. Siku akiumwa utasikia bebi naumwa, jifanye umeuchuna. Malalamiko mengi. Hapo unatakiwa umhudumie, umpe hela akanunue dawa.
Siku umeugua wewe utasikia pole ya mikono mitupu.
Akija kukuona anakuja mikono mitupu, akifa mwagize dukani akuletee hata maji. Atakuomba hela.
tofauti na ngono, mwanamke hana cha kukupa
 
Mwanaume ndiyo anaoa. Kukata viuno au kusaidia majukumu siyo kigezo cha mwanamke kuolewa.
Heshima, kujitunza, kujua majukumu yake ya nyumbani na kumsikiliza mumewe ndizo nguzo za mwanamke kuolewa.
Shida ya wanawake ile 50/50 inawaharibu. Ujuaji mwingi, kutoa siri na kushindana
Soma tena comment yako ya mwanzo mkuu, yani mnataka mwanamke afanye majukumu yake ya nyumbani ila bado mnasema hana kingine cha kuoffer zaidi ya sex, mnataka tena aanze kusaidia na majukumu yenu ya kulipia bills za nyumbani is that fair
 
Ukitaka kuona hawa watu. Siku akiumwa utasikia bebi naumwa, jifanye umeuchuna. Malalamiko mengi. Hapo unatakiwa umhudumie, umpe hela akanunue dawa.
Siku umeugua wewe utasikia pole ya mikono mitupu.
Akija kukuona anakuja mikono mitupu, akifa mwagize dukani akuletee hata maji. Atakuomba hela.
tofauti na ngono, mwanamke hana cha kukupa
Huyo mwanamke anavyokuja anakuwa hakupikii hakufanyii usafi kwako au
 
Yawezekana yafuatayo

Muda (alitegemea atamuoa ,akaacha waoaji)

Mizinga ,alipigwa mizinga akatoa

Tendo landoa ,mwamba akapewa lango la taka ,na lango la uzazi

Pamoja na hayo yote ,hajaona thamani yake
 
Huyo mwanamke anavyokuja anakuwa hakupikii hakufanyii usafi kwako au
Ukishamaliza kufanya usafi. Unaomba hela ya nauli na mahitaji mengine urudi kwenu.
Hivyo vyote vimekuwa vimeshalipiwa. Hapo tunakuwa tumeshalipia, ni sawa na kumpa hela mtu akufanyie usafi.
Unaweza kufanya hivyo vyote bila ya kuomba hela?
Hayupo mwanamke anayempenda mwanaume ambaye hana hela
 
nina demu simpi chochote na nikimuita geto lazima atimbe hanidai hela wala nn
 
Back
Top Bottom