Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Huwa najiuliza mpaka unasema hvyo umenipa nin nikifikiria hata zawad ya bahat mbaya hajawah nipa xa najiuliza yate yapi aliyonipa labda stress tu ndo asemee sio kingne
Amelipa
1. Muda wake
2. Upendo wake kwako
3. Amekataa wanaume wengine amekuchagua wewe, huenda wasela wengine walikuwa WA maana kuliko wewe
 
Tofauti na ngono, mwanamke hawawezi kukupa kingine. Huu ndiyo uhalisia
Maisha ni zaidi ya ngono, unanikatikia kiuno halafu unasema umenipa vyote?
Ukinunua hata umeme wa 5,000 unasema umenikopesha na unataka hela yako.
Hii ndio point...mwanamke ni wa ngono tuu hakupi ata kitu kingine.
Mfano rahisi tuu muombe adhamini pambano la minyamduano uone anavyoruka mile 60. Hawa ni kugegeda tuu na kutupa kule🤣🤣🤣🤣
 
Hii ndio point...mwanamke ni wa ngono tuu hakupi ata kitu kingine.
Mfano rahisi tuu muombe adhamini pambano la minyamduano uone anavyoruka mile 60. Hawa ni kugegeda tuu na kutupa kule🤣🤣🤣🤣
Samahani, ivi Una mama?!
Mama yako ni mwanamke au mwanaume?!
Kwahiyo mamako NI WA ngono Tu au??
 
Amelipa
1. Muda wake
2. Upendo wake kwako
3. Amekataa wanaume wengine amekuchagua wewe, huenda wasela wengine walikuwa WA maana kuliko wewe
hizo sababu akizitumia kama defence name ntamrudishia hizo hzo maana kama ni muda name wangu umepotea mwingi
Kama upendo name nilimpenda sana kazingua
Kuhusu wasichana/wanawake wenda kuna waliokuwa na malengo hata zaidi ya aliyokuwa nayo yeye ni ngoma draw boss
 
🕺🕺🕺🕺🤣🤣🤣🤣🤣!!

Mahoo on the line 1& 2 🤣🤣🤣🤣!!

Uvokuja Nilifurahi sana kukuona dadalake ulikua kimya sana!

Bila shaka 50thebe hajambo 😊
Mwee NI wewe WiFi yangu
Jamaan mliachana wapi na mdogowangu Smart911 now kachanganyikiwa kweli maskini
 
🕺🕺🕺🕺🤣🤣🤣🤣🤣!!

Mahoo on the line 1& 2 🤣🤣🤣🤣!!

Uvokuja Nilifurahi sana kukuona dadalake ulikua kimya sana!

Bila shaka 50thebe hajambo 😊
Nilienda vacation for my emotional damage
Now am back
Stronger and better
 
Back
Top Bottom