Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Huwa mnasema maisha ni zaidi ya ngono ila wasipokata hivyo viuno mnalalamika kwamba wanawake wa siku hizi siyo wabunifu, chagueni moja mnataka viuno au mnataka kusaidiwa majukumu yenu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia, na je ninyi pia mkoa tayari kuwasaidia wanawake majukumu yao ya nyumbaniTofauti na ngono, mwanamke hawawezi kukupa kingine. Huu ndiyo uhalisia
Maisha ni zaidi ya ngono, unanikatikia kiuno halafu unasema umenipa vyote?
Ukinunua hata umeme wa 5,000 unasema umenikopesha na unataka hela yako.