Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #141
Achana nao bwana hao wanajichatuaHalafu baada ya hapo mnawaita vyombo vya starehe kusema hao ni kuwala na kuwatupa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao bwana hao wanajichatuaHalafu baada ya hapo mnawaita vyombo vya starehe kusema hao ni kuwala na kuwatupa tu
Mwanamke anafanya kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba kuzaa na kulea watoto, kati ya hayo majukumu ukitoa kuzaa ni kipi kinachomshinda mwanaume kufanya hapo na kwanini huwa hamfanyiSiyo kuhudumiana mwanamke anakuwa amemnyonya mwanaume.
Kuna nyumba, gari, simu n.k
Ni nani anayenunua chakula, kujenga nyumba, kusomesha watoto?
Hiyo pesa unayozungumzia huwezi hata kutoa kulipia pango ambayo mnakaa pamoja na mumeo
Kwao hio sio KAZI wanasema umekaa tuMwanamke anafanya kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba kuzaa na kulea watoto, kati ya hayo majukumu ukitoa kuzaa ni kipi kinachomshinda mwanaume kufanya hapo na kwanini huwa hamfanyi
Sasa kama siyo kazi mbona wakiambiwa wafanye hata kidogo tu wanakuja juu, siku itokee mwanaume kaachiwa nyumba peke yake tuseme chafu, hakuna chakula, na kuna watoto wadogo vyote hivyo vinamuhitaji yeye uone kama hajahaha, huwa wanasema tu kwamba majukumu ya wanawake ni mepesi ila wakiambiwa wayafanye hata robo tu hawaweziKwao hio sio KAZI wanasema umekaa tu
NI sheedahSasa kama siyo kazi mbona wakiambiwa wafanye hata kidogo tu wanakuja juu, siku itokee mwanaume kaachiwa nyumba peke yake tuseme chafu, hakuna chakula, na kuna watoto wadogo vyote hivyo vinamuhitaji yeye uone kama hajahaha, huwa wanasema tu kwamba majukumu ya wanawake ni mepesi ila wakiambiwa wayafanye hata robo tu hawawezi
1. Hivyo vyombo anavyoosha mwanamke huwa amenunua nani?Mwanamke anafanya kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba kuzaa na kulea watoto, kati ya hayo majukumu ukitoa kuzaa ni kipi kinachomshinda mwanaume kufanya hapo na kwanini huwa hamfanyi
Naomba uingie leba boss1. Hivyo vyombo anavyoosha mwanamke huwa amenunua nani?
2. kufungua nguo, hizo nguo amenunua nani?
3. Kusafisha nyumba. Hiyo nyumba analipia kodi nani au alijenga nani?
4. Kupika chakula, hicho chakula anakuwa amenunua nani?
5. Hao watoto wanahitaji kula, kuvaa, matibabu na ada. Hivyo vyote anagharamika nani?
6. Unazaa, hela ya kliniki, nauli, kujifungua n.k hizo gharama analipa nani?
Tofauti na kuzaa hakuna kinachomshinda mwanaume. Je, kwanini nyie hamgharamiki kwa vyote hivyo na ukiona mwanaume hagharamiki mnakimbilia ustawi wa jamii kushitaki?
Naomba uingie leba boss
KhaNikafanyaje wakati upo leba kwa pesa zangu?
Ukitoka leba, mtoto anapewa jina na mumeo.
Ukitoka leba, mtoto anapewa jina na mumeo.
🤣🤣HapanaUkitoka leba, mtoto anapewa jina na mumeo.
Baba ananunua chakula cha mama na mama anamnyonyesha mtoto (ngoma droo).🤣🤣Hapana
Wanampa jina sawa
Ila ubatizo natoa mimi mama majina
Ngoma droo 👌
Ni kweli ndiyo maana wanaume tunaishi muda mfupi.Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...www.jamiiforums.com
Huwa nafuatilia kipindi cha Single mom Zamaradi TV.Sasa kama siyo kazi mbona wakiambiwa wafanye hata kidogo tu wanakuja juu, siku itokee mwanaume kaachiwa nyumba peke yake tuseme chafu, hakuna chakula, na kuna watoto wadogo vyote hivyo vinamuhitaji yeye uone kama hajahaha, huwa wanasema tu kwamba majukumu ya wanawake ni mepesi ila wakiambiwa wayafanye hata robo tu hawawezi
Ah wapi mie wangu alie sema bby cum in my mouth ni mke wangu sasa miaka mitano. Niliona huyu anafaa kuwa mke kabisaHalafu baada ya hapo mnawaita vyombo vya starehe na kusema hao ni wa kuwala na kuwatupa tu
Story gani weweStori ya kufikirika ajaze comment woi
Kama Kiruuu Basi Utakuwa Poa Sanaa Maana Jirani Yangu WeweSingida tena?! Kiru
Mithali 6:32Ni kweli ndiyo maana wanaume tunaishi muda mfupi.
Kama ni hela tu. Kwanini Single mother wanalalamika mpk wanaenda kushitaki kwa makonda?
JamaanHuwa nafuatilia kipindi cha Single mom Zamaradi TV.
Hayo majukumu wanayolia wameachiwa wanawake, kwanini wasifanye wenyewe? Ni hela tu
Wanalalamika watoto hawahudumiwi, mwanaume kamkimbia nk
Inabidi mtuheshimu, wanaume tuna majukumu mazito ambayo mwanamke hawezi kuyabeba.