Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #161
Mithali 6:32Story gani wewe
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mithali 6:32Story gani wewe
Mithali 6:32Kama Kiruuu Basi Utakuwa Poa Sanaa Maana Jirani Yangu Wewe
Hii nakubaliana nayo 💯 wala halina ubishi.Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
AminaHii nakubaliana nayo 💯 wala halina ubishi.
Jana nilikuwa nasikiliza radio.Jamaan
Hapo umeshindwa kutafuta hela?Jamaan
Kijana sijui tunachoshindwa kuelewana ni nini hapo, mwanaume jukumu lake ni kutafuta pesa na kuhudumia familia na mwanamke jukumu lake ni kufanya kazi za ndani na kulea familia, sasa unataka mwanamke atafute hela alipe hayo na bado afanye kazi za nyumbani wewe jukumu lako linakuwa ni lipi hasa1. Hivyo vyombo anavyoosha mwanamke huwa amenunua nani?
2. kufungua nguo, hizo nguo amenunua nani?
3. Kusafisha nyumba. Hiyo nyumba analipia kodi nani au alijenga nani?
4. Kupika chakula, hicho chakula anakuwa amenunua nani?
5. Hao watoto wanahitaji kula, kuvaa, matibabu na ada. Hivyo vyote anagharamika nani?
6. Unazaa, hela ya kliniki, nauli, kujifungua n.k hizo gharama analipa nani?
Tofauti na kuzaa hakuna kinachomshinda mwanaume. Je, kwanini nyie hamgharamiki kwa vyote hivyo na ukiona mwanaume hagharamiki mnakimbilia ustawi wa jamii kushitaki?
Aise sasa kwanini mnalalamika mnapotoa hizo pesaNikafanyaje wakati upo leba kwa pesa zangu?
Siku hizi mbona wanawake wengi tu wanatafuta hela na wengine wanaenda mbali zaidi na kuhudumia familia kabisa, ni wanaume wangapi wanafanya kazi za ndani na kulea watoto kulinganisha na idadi ya wanawake wanaotafuta pesa, mwanamke lazima aende ustawi wa jamii siyo kwa sababu hawezi kutafuta pesa bali ni kwa sababu ya huu mgawanyo wa majukumu haiwezekani yeye azae, alee, na bado atafute pesa sasa wewe baba wa mtoto jukumu lako linakuwa lipiBaba ananunua chakula cha mama na mama anamnyonyesha mtoto (ngoma droo).
Kila mtu ana majukuu yake ila baba ana majukuu mazito sana. Ukipewa wewe mwanamke lazima ukanishitaki kwa ustawi wa jamii au kwa wazazi.
Kwanini Single mother wanalalamika wakati hayo majukumu ni rahisi tu hata wao wanaweza kufanya? Ni hela tu
Angalia video ya Mshua ya Nay wa mitego ft Linah
Yataje hayo majukumuHuwa nafuatilia kipindi cha Single mom Zamaradi TV.
Hayo majukumu wanayolia wameachiwa wanawake, kwanini wasifanye wenyewe? Ni hela tu
Wanalalamika watoto hawahudumiwi, mwanaume kamkimbia nk
Inabidi mtuheshimu, wanaume tuna majukumu mazito ambayo mwanamke hawezi kuyabeba.
Ndio swali linapokuja hapo kwanini mwanamke afanye majukumu ya mwanaume wakati yeye ana ya kwake yanamsubiri, wakati mwanamke anatafuta pesa huyo mwanaume anakuwa afanya nini labda, na je mwanamke akitafuta pesa mwanaume atakubali kupika, kufua, usafi na malezi ya watoto na kazi kama hizoJana nilikuwa nasikiliza radio.
Jamaa aliambiwa na mke wake "Siwezi kuishi na mwanaume ambaye hajui kutafuta hela, naondoka"
Nikajiuliza kwani mwanamke anashindwa kutafuta hela?
Anaweza Ndio maana anaondoka😂😂😂Jana nilikuwa nasikiliza radio.
Jamaa aliambiwa na mke wake "Siwezi kuishi na mwanaume ambaye hajui kutafuta hela, naondoka"
Nikajiuliza kwani mwanamke anashindwa kutafuta hela?
Weka picha tuoneHuwa tunapewa plot buza Kwa mpalange
AiseeHaya maneno nimeyasikia jana usiku
Na Una moyo WA kumjibu aseeKijana sijui tunachoshindwa kuelewana ni nini hapo, mwanaume jukumu lake ni kutafuta pesa na kuhudumia familia na mwanamke jukumu lake ni kufanya kazi za ndani na kulea familia, sasa unataka mwanamke atafute hela alipe hayo na bado afanye kazi za nyumbani wewe jukumu lako linakuwa ni lipi hasa
WHAT A SERMONKitu mnachokuwaga nacho ni chupi tu. Maana hata mitaiti mnahongwa. Sasa ya buku tu ndo unaona una kila kitu? Hiyo kila kitu ndo unampa mwanaume? Af kesho unaanza umempa! We sema ulichopeleka kwake,kikaishia huko! Kwa anaejua,si kwamba mnadai mlivyotoa,ni kwamba mnaanzaje maisha! Omba msaada akununulie uende na mpya huko uendako
Ndo umenitusi au? Sijakupata ujue na nimekuelewa bi ndogo🥹😂🤣😀😀WHAT A SERMON