Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Kijana sijui tunachoshindwa kuelewana ni nini hapo, mwanaume jukumu lake ni kutafuta pesa na kuhudumia familia na mwanamke jukumu lake ni kufanya kazi za ndani na kulea familia, sasa unataka mwanamke atafute hela alipe hayo na bado afanye kazi za nyumbani wewe jukumu lako linakuwa ni lipi hasa
 
Siku hizi mbona wanawake wengi tu wanatafuta hela na wengine wanaenda mbali zaidi na kuhudumia familia kabisa, ni wanaume wangapi wanafanya kazi za ndani na kulea watoto kulinganisha na idadi ya wanawake wanaotafuta pesa, mwanamke lazima aende ustawi wa jamii siyo kwa sababu hawezi kutafuta pesa bali ni kwa sababu ya huu mgawanyo wa majukumu haiwezekani yeye azae, alee, na bado atafute pesa sasa wewe baba wa mtoto jukumu lako linakuwa lipi
 
Yataje hayo majukumu
 
Jana nilikuwa nasikiliza radio.
Jamaa aliambiwa na mke wake "Siwezi kuishi na mwanaume ambaye hajui kutafuta hela, naondoka"
Nikajiuliza kwani mwanamke anashindwa kutafuta hela?
Ndio swali linapokuja hapo kwanini mwanamke afanye majukumu ya mwanaume wakati yeye ana ya kwake yanamsubiri, wakati mwanamke anatafuta pesa huyo mwanaume anakuwa afanya nini labda, na je mwanamke akitafuta pesa mwanaume atakubali kupika, kufua, usafi na malezi ya watoto na kazi kama hizo
 
Na Una moyo WA kumjibu asee
 
Kitu mnachokuwaga nacho ni chupi tu. Maana hata mitaiti mnahongwa. Sasa ya buku tu ndo unaona una kila kitu? Hiyo kila kitu ndo unampa mwanaume? Af kesho unaanza umempa! We sema ulichopeleka kwake,kikaishia huko! Kwa anaejua,si kwamba mnadai mlivyotoa,ni kwamba mnaanzaje maisha! Omba msaada akununulie uende na mpya huko uendako
 
WHAT A SERMON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…