Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Kuanzia Leo usimtombe .. hakikisha humtombi hata kama atalala bumunda liko nje.



Hakikisha unauchukua nafasi kubwa zaidi kumuangalia mtoto hata km uko bize, ukishakua free kua na mtoto muda mwingi, mizunguko ya Hosp hakikisha unaifanya wewe .
 
Ubarikiwe
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyaje

Mbarikiwe
broo mimi sijui nakuwaga na moyo gani huwa mavitu hayo sisamehi kabisa hata kikifanyika kikao cha ukoo mzima. by the way ongea nae mchane wazi utoe mzigo moyoni na pia mpate mwafaka wa hatima ya afya na mtoto, angalia wapi ulipwaya pia.
 
Hakuna mwanamke anacheat kwa bahati mbaya, what to do mwambie akupishe nyumbani uleta shangazi ama ajiri mama wa kuhudumia mtoto ama mpe mama aende na mtoto
 
Wewe ni askari ?
na huyo anae chati na mke wako namba yake inaishia 46?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…