Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Wewe kei yako ishachokwa kwahiyo ondoka hapo, unamchomea mwamba nguo za nini, unaharibu sifa kwa wanawake wengine waonekane na wao ni ovyo kama wewe.
 
Uko strong BUT NOT FEARLESS ANYMORE!
Love that kind of jealous in a woman! ❤️‍🔥🥰♥️
 
Unawashwa kupigwa. Jidai na wewe mzungu wakati unaishi Afrika.
Nimeachwa by Saraphina 🎤🎵🎵🎶🎶🎶🎹🎻🎼
 
Dah kumbe umechoma akiwa hayupo? Je uyo guy wako ni braza men au mwanaume? Kama ni mwanaume jiandae kumwomba msamaha kwa kitendk icho atakuelewa
Kama ni braza meni yeye na kioo jiandae kisaikojia
Mwana kulitafuta mwana kulipandeka!
 
Pole sana mkuu mapenzi yanaweza kukufanya uonekane mtu wa ajabu, lakini usijilaumu sana. We all make mistakes after all, don't We?!
 
Huna adabu kabisa, kwa hiyo ulitaka upigiwe makofi upongezwe kwa usenge uloufanya? Tena kama akili yako inafanya kazi vizuri soma komenti za wanawake wenzio ufanyie kazi.
 
Umewahi kusikia huu msemo..mwanamke mjinga anavunja nyumba yake kwa mikono yake?..au huna nyumba na wewe its just your guy🤣🏃🏃
 
1. Ur username doesn’t deserve you ibadili ASAP.

Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa 😂😂😂
Hawa ndo wanawake sasa.niinbox namba plz
 
Bila shaka umejifunza dada usirudie hiko ulichokifanya!
 
When is back do you mind to login and tell us what happened pls . Also Ka ushauri kangu .action and reaction are equal and opposite. Just drop anything in I will get back to you .that's how you were supposed to react dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…